Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Huyo ni Malaya kama wengine tu,kama hampendi Hadi kufikia kiwango Cha kuona aibu Sasa wa kazi gani si aachane nae? Usikute Mr mfupi ana Hela Kwa hiyo hako kabinti kanashindwa kuchomoka
 
Mkatie mamiti awe kama ngongoti.Kwa msiomjua ngongoti👇👇👇
Screenshot_20230716-091958.jpg
 
Wafupi tunabezwa

Wakati anakuibukia alikuwa mrefu ukamkubalia kwenye kumtambulisha kawa mfupi.

Sijui nikusaidieje ila huyo ndugu’angu namhurumia siku ukimgeuka!
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Hapa utapata ushauri wa hovyo kuhusu ufupi wa mtu maana binadamu wa kiTanzania hutoa ushauri mbovu ili kukupoteza, ufupi siyo ugonjwa na mtu mfupi anaweza kua Bora kuliko hao anao wadhani yeye, kwenye mapenzi kwa nini alimkubali? Na yamkini amekua akitumia matumizi ya huyo huyo mfupi, binafsi sijawahi kuona shida ya mtu mfupi, labda awe ni yule mfupi kwa maana ya ulemavu kama wale watu wa Congo, lakini ufupi wa mtu tu ule wa kawaida sioni tatizo lolote, zaidi ni kwamba, huyo binti ana matamanio yake ambayo ni batili, alimkubali huyo kwa sababu ya shida zake au tamaa, lakini kwa kua anamchambua kwa maumbile ya ufupi basi naona wazi huyo binti ni dish [emoji341] lake limeyumba kichwani, na watakua ni hawa mabinti wenye miaka 25-29
 
Huyo ni Malaya kama wengine tu,kama hampendi Hadi kufikia kiwango Cha kuona aibu Sasa wa kazi gani si aachane nae? Usikute Mr mfupi ana Hela Kwa hiyo hako kabinti kanashindwa kuchomoka
Siyo tu ana hela, huyo binti ni kichaa na ni Malaya, mfupi wa kusemwa ni wale kama wa Congo, mbilikimo yani, lakini ufupi huu wa kawaida mtu anaongea, huyo ni Binti mshenzi tu asiye na maana na analala na wanaume wengi na akili yake inamwambia mwanaume Bora ni mtu mrefu tu, anashindwa kuelewa huyo mrefu anaweza kabisa asiwe Bora zaidi ya huyu mfupi, na mala nyingi huyu anayeitwa mfupi utakuta ni mtu wa kawaida wa kati tu, yaani siyo mfupi wala siyo mrefu, ndiyo waTanzania wengi walivyo
 
Huyo Binti ni wa kuchezewa tu na kutupwa siyo wa kuolewa!
 
Achana nae, njoo utafute mume JF.

Humu kila mwanaume ni mrefu halafu mweusi tii, na kila mwanaume humu JF akiwa anakula mzigo anapiga sho kali na mwanamke anarusha maji! Karibu sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umesahau pia wote humu tuna Hela nyingi sana na ni watu wakubwa maofisini na kwenye jamii
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Huo ufupi hakuuona wakati anatongozwa?
 
Mbona hajadisclose whether NYETI zake nazo ni fupi ama la?
 
Atafute mrefu
 
Attachments

  • IMG-20230708-WA0072.jpg
    IMG-20230708-WA0072.jpg
    49 KB · Views: 7
Katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaruhusu rais kuongoza mihula miwili (2) mfululizo ya urais kwa maana ya miaka 10.. ila ikiwapendeza wabunge wetu wanaweza wakafanya namna kurekebisha hicho kifungu ili kukidhi mahitaji yetu kwa sasa.. Mama Samia aongoze hadi 2040.
 
Back
Top Bottom