Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Achana nae, njoo utafute mume JF.

Humu kila mwanaume ni mrefu halafu mweusi tii, na kila mwanaume humu JF akiwa anakula mzigo anapiga sho kali na mwanamke anarusha maji! Karibu sana.
Huku kuna wanaume au waume??
 
Unaandika kama wote humu tuna umri sawa na wako pmbav
Kwani kama wewe NI zee, si upite, waache wenye UMRI Sawa wandike na kusoma na Ku comment
Embu kakojoe ukalale, usituletee stress za Corona sijui imekusahau vipi au penshen hulipwi.?
 
Kuna watu wamefunga ndoa kwa kuonana mara moja na baada ya mwezi ndoa
Leo mwaka wa 40 hilo nalo vipi

Usikariri maisha kila mmoja na bahati yake
Wapo waliojuana miaka 10 baadae wakaoana na miaka 2 baadae wakaachana
Maisha sio ya kupanga yanakuja yenyewe
Kabisa
 
Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri

Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi

Money penny: kwahiyo unasemaje?

Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?

Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Kama ako na pesa mtambulishe tu.
 
Back
Top Bottom