Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,051
- 5,104
Ndio yuleyule boda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanyaje huyo bodaNdio yuleyule boda.
🙄🙄🙄Maboga mengine ni mterezo tu hayapendeki sasa ilo ua ndio utaweza kulipenda
Money penny apo umegonga kwenyew kabisa kuna haha yakuwapa elimu wanawake kwa wanaume kuhusu mahusiano zaidi maana Dunia ya Leo ipo kasi zaidi ya tulivyo wanadam imetutawala akili kwa kiwango cha juu🤣
Kafanyaje huyo boda
Hata sijakuelewa umenijibu kitu gain mzeiya maana mm nimeuliza swali koknki
Ukishaanza kuona unaomba ushauri juu ya namna mwenzio alivyoumbwa basi huna mapenzi nae ya dhati
Mpe Raizoni
Ndio yuleyule boda.
Mvumiliane mbona wewe huna akili na mvuto na bado anakutambulisha hivyo hivyo?Binti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Mvumiliane mbona wewe huna akili na mvuto na bado anakutambulisha hivyo hivyo?
Mfupi wa kawida ila show si anakumwaga maji mixer ute kwa nini usimtambulishe kabinti acha uwogaBinti: money penny, Mimi nimepata bwana, nimekuwa nae kwenye mahusiano Kwa muda WA MIEZI 3 sasa kwa Siri
Kwa maana, sijawahi kumtambulisha Kwa ndugu, jamaa hata Marafiki zangu naona aibu sababu ni mfupi
Money penny: kwahiyo unasemaje?
Binti: Naogopa kuchekwa na watu, maana ni mfupi Yuko usawa wa kiunoni, ila ananipenda sana na naona kama anataka ndoa, nifanyaje?
Haya nyie warefu mshaurini mwenzenu afanyaje
Mfupi wa kawida ila show si anakumwaga maji mixer ute kwa nini usimtambulishe kabinti acha uwoga
Manzi n Bwege.
InategemeaHivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?
NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?www.jamiiforums.com
AiseeInategemea
Ya wenye mimba 🤔Hivi mimba inakuwa ni ya mwanaume au mwanamke?
NI swali nimeuliza hapo, nisaidie kujibu basi. Mimba huwa inakuwa ya mwanaume au mwanamke?www.jamiiforums.com
Mwanaume WA Dar hujui mimba ya nanYa wenye mimba 🤔