Mpenzi wangu ni mfupi, naona aibu kumtambulisha, nifanyaje?

Babaako mzazi ni mrefu au mfupi.Tuanzie hapo.
 

Amnunulie buti za jeshi apande juu kidogo hahaha
 
Kwa hio asubirie kidogo at least miezi 6 anaweza akarefuka ?
[emoji3578]

Nimechekaa [emoji1787][emoji1787]


Yaani mimi nimecomment tu mtu una miezi nae 3 tu unataka umtambulishee sidhani kama ni nzuri labda kama umezoea kutambulishAtambulisha watu kwenu

Wa kutambulishwa ni mume mtarajiwa tu tena siku atakayokuja toa mahari ndio anatambulishwa


Kuhusu ufupi ni kwamba harefukii tena yeye anaona aibu kwa kuwa hampendi aache kumtambulisha mpk atakapojiridhisha mwenyewe
 
Ana hela?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…