Mpenzi wangu ni mvivu sana

Pole sana mkuu..... Ukiongea kuhusu mim unatakiwa ujue kwanza nmeolewa au sijaolewa...... Ukijua moja kati ya hilo unaweza kuamua kusema chochote utakacho sawa shemeji..... Ww kama umeamua kuoa mwanamke ambae kweny uchumba hakukufulia basi ni ww........ Mwanamke kukufulia, kukupikia, sijui kukufanyia nin kabla ya ndoa hyo haitakiwi kabisa...... Kinachotakiwa kufanyika ni huyo binti kufundishwa jinsi na nini cha kumfanyia mume na ni kipi cha kufanya kuitunza familia... Ndo mana kukawa ni kitchen party ndo mana pia kabla ya kitchen party kuna vimambo mwanamke anafundishwa na somo..... Me naona ww ni moja kati ya vijana ambao aukukaa na baba kukufundisha jinsi ya kua mwanaume
 
Kwakweli, maana hapa mwanaume ndio anaonekana mvivu.
Nakumbuka wakati nipo bachela enzi hizo nikitaka kuleta demu siku hiyo unapigwa usafi wa maana, nasafisha room vizuri kabisa, inapigwa hadi perfurme... Nafua manguo yote machafu, ghetto linakua linameremeta haswaaa....!!!!
Ila naona vijana wa siku hizi wanaleta demu ghetto chafu, manguo machafu yamejaa wanategemea wasafishiwe na wafuliwe na demu.
Anyways, kweli mambo yamebadilika.
 
Nashukuru sana ww unajitambua...... Watu kama ww ndio mnatakiwa muwafundishe vijana wa humu...
 
Aje kwako akufulie??????


Yeleeeeeeeeeeeeeewiiiii


Kinachokufanya usisafishe kufua na kupika ni nini
 
Halafu wana guts za kulalamika hawasafishiwi


Khaaaaaaaa
 
Itakuwa ana apply ile kanuni inayosema "don't be a wifey to a boyfriend .
Wanaume hawajui kuna wanawake hatuwez kamwe kukuhudumia kama mume wakati hujaoa..yaan ww ni mpenzi tuu alafu unataka nikufulie nipike nideki kwako nikupe game Kila ukitaka foolish!
 
Safi sana, namna hiyo ndio inatakiwa. Sasa hawa uvivu na uchafu tu umewajaa.
 
Dariri zote unaziona,lakini bado unaamini atabadilila ukimuweka ndani kama mke?...haya endelea.
 
Huyo anajielewa anakufuliaje na haujamuoa???. Akupikiea ili ugundue Nini, ukimuoa leta mrejesho kama hapiki au hafui
 
Jareboo kumoambea suala la mfanyakaze wa ndane awafolie wafifu sana nyie
 
Kuna mmoja alikuja kwangu ndani nina kila kitu akaanza oooh siwezi kupika sijui naangali ISIDINGO akasema anataka chips ninapokaa na road ni mbali nikamvutia waya boda kuja nikamwambia nenda nae road mkachue chips kuku na wine nikampa picha yote boda akafika nae road akambwaga hapo hapo. Uzuri kwangu asingeweza kuja tena maana hapajui. Akapiga cm nikamtia block.
 
Nawe acha uvivu hapo ni kwako fanya usafi. Mpenzi akufanyie majukumu km mke??? Muone afanye majukumu yake km mke. Unataka awe mke kwa boyfriend?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…