Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Pole sana mkuu..... Ukiongea kuhusu mim unatakiwa ujue kwanza nmeolewa au sijaolewa...... Ukijua moja kati ya hilo unaweza kuamua kusema chochote utakacho sawa shemeji..... Ww kama umeamua kuoa mwanamke ambae kweny uchumba hakukufulia basi ni ww........ Mwanamke kukufulia, kukupikia, sijui kukufanyia nin kabla ya ndoa hyo haitakiwi kabisa...... Kinachotakiwa kufanyika ni huyo binti kufundishwa jinsi na nini cha kumfanyia mume na ni kipi cha kufanya kuitunza familia... Ndo mana kukawa ni kitchen party ndo mana pia kabla ya kitchen party kuna vimambo mwanamke anafundishwa na somo..... Me naona ww ni moja kati ya vijana ambao aukukaa na baba kukufundisha jinsi ya kua mwanaumeNishakutana na wanawake wa kuangalia movie, kusikiliza muziki na kulala. Sijamuoa hata mmoja na hawajaolewa mpk leo. Unafikiri mwanaume akikuhitaji kingono basi atakuoa. Muulize Unique Flower atakujibu
Utapigwa mashine, anapewa namba rafiki yake naye anapiga. Chain inaendelea