Mpenzi wangu nikiingia nae 'room' ngoma inagoma. Nachokomaje?

Mpenzi wangu nikiingia nae 'room' ngoma inagoma. Nachokomaje?

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
456
Reaction score
1,003
Salamu wakuu

Nina ishu serious inanisumbua akili mpaka sielewi nifanyeje kama kuna mtu imewah kumtokea naomba anisaidie mbinu alizotumia

Mkasa mzima uko hivi, Nina demu wangu hivi nampenda lakini yeye pia ananipenda kwa ninavyomuona

Changamoto inakuja demu nikiingia nae ngoma inagoma

Na imekuwa zaidi ya mara tatu kusimama inasimama mpaka yeye mwenyewe anaiona lakini nikitaka kuweka inalegea

Nishatumia dawa za nguvu za kiume lakini wap

Amenivumilia kwa muda mrefu lakini naona ameanza kuchoka

Miaka ya nyuma niliwah kupiga punyeto pengine ndo sababu

Lakini licha ya hivyo kabla yake nilikuwa na wanawake zaidi ya wawili na nilikuwa napiga mechi fresh bila tatizo

Jana tu amekuja nikajaribu ikagoma mpaka akatoka analia ikaniumiza sana

Leo nikasema nihakikishe kama ni kweli sina nguvu za kiume

nikajaribu kwa huyo mwanamke mwingine cha kushangaza nimepiga show fresh bila shida yoyote

Sasa hapa nipo njia panda sielewi, je inawezekana kwamba mwanamke ndo ana tatizo
au inawezekana mimi nina tatizo na kama nina tatizo mbona kwa wanawake wengine hakuna shida yoyote mbona kwake tu

Je. kuna yeyote amewahi kukutwa na hali kama na alichomokaje

NATEGEMEA MAWAZO YENU NA USHAURI WENU NATANGULIZA SHUKRAN

N.b: Mods tafadhari msiuhamishe uzi nahitaji msaada wa haraka
 
pole kaa nae umuulize mahusiano yake ya nyuma kama aliachana na mwezie vizuri na pia umueleze ukweli kwamba kwa mwingine unaichapa vizuri, kama mnaelewana hebu mruhusu na yeye aigawe nje alf aone hali itakuaje

kwahiyo haujawahi kumuonja hata kidogo? na mahusiano yenu yana mda gani
 
Kwenye kuachana hapo sijui ila ashaniambia aliolewa ndoa ikamshinda

Kwenye kumwambia ukweli naona ugumu kidogo maana licha ya yote bado namhitaji

Nishajaribu kumwambia ajaribu mwanaume mwingine lakini yeye anatafsiri kama simuhitaji hivyo natafuta mbinu ya kumuacha hali inayopelekea kuanza kulia

kwa kweli sijawah kumuonja

Mahusiano rasmi yana kama miezi 2
 
sa miezi miwili mbona michache mshaanza kuombana vikojoleo si mzoeane kwanza ili mfahamiane vizuri
 
Pole sana,tatizo hili ni halisi japo hapa wanakufanyia mzaha,lakini sisi tulioko kwenye fani ya tiba tunajua.Nusu ya wagonjwa wengi vijana na wale wanaoelekea kuuacha ujana wana tatizo la nguvu za kiume.
Kwa kuwa unahitaji msaada wa haraka,unaweza kuni PM tukajadili kidogo.
 
lakini hajasema kama anashida ya nguvu za kiume
 
Back
Top Bottom