Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
- Thread starter
- #21
Shukran nitafanya hivyohapo sawa,, ila mwambie afunguke kwako sababu zilizo mtoa kwenye ndoa usikute yeye ndo chanzo, ujue mambo ni mengi kwa ground
Shukran nitafanya hivyohapo sawa,, ila mwambie afunguke kwako sababu zilizo mtoa kwenye ndoa usikute yeye ndo chanzo, ujue mambo ni mengi kwa ground
Huyo ana tatizolakini hajasema kama anashida ya nguvu za kiume
Hapana mwambie ni mambo ya kitabibu ikibidi nipe namba yake mimi kama tatibu nimdonoe kwza nikiona inapita , nitajua pakuanzia tiba bwasheeNitajaribu ingawaje nishamwambia akaona kama namtafutia sababu ya kumuacha
MKUU 🤣Matatizo yako binafsi usiyahusishe na nyeto
Ufe kwa ukimwiSalamu wakuu
Nina ishu serious inanisumbua akili mpaka sielewi nifanyeje kama kuna mtu imewah kumtokea naomba anisaidie mbinu alizotumia
Mkasa mzima uko hivi, Nina demu wangu hivi nampenda lakini yeye pia ananipenda kwa ninavyomuona
Changamoto inakuja demu nikiingia nae ngoma inagoma
Na imekuwa zaidi ya mara tatu kusimama inasimama mpaka yeye mwenyewe anaiona lakini nikitaka kuweka inalegea
Nishatumia dawa za nguvu za kiume lakini wap
Amenivumilia kwa muda mrefu lakini naona ameanza kuchoka
Miaka ya nyuma niliwah kupiga punyeto pengine ndo sababu
Lakini licha ya hivyo kabla yake nilikuwa na wanawake zaidi ya wawili na nilikuwa napiga mechi fresh bila tatizo
Jana tu amekuja nikajaribu ikagoma mpaka akatoka analia ikaniumiza sana
Leo nikasema nihakikishe kama ni kweli sina nguvu za kiume
nikajaribu kwa huyo mwanamke mwingine cha kushangaza nimepiga show fresh bila shida yoyote
Sasa hapa nipo njia panda sielewi, je inawezekana kwamba mwanamke ndo ana tatizo
au inawezekana mimi nina tatizo na kama nina tatizo mbona kwa wanawake wengine hakuna shida yoyote mbona kwake tu
Je. kuna yeyote amewahi kukutwa na hali kama na alichomokaje
NATEGEMEA MAWAZO YENU NA USHAURI WENU NATANGULIZA SHUKRAN
N.b: Mods tafadhari msiuhamishe uzi nahitaji msaada wa haraka
Apa ndo tatizo lilipo huyo ni mke wa mtu achana naeKwenye kuachana hapo sijui ila ashaniambia aliolewa ndoa ikamshinda
Kwenye kumwambia ukweli naona ugumu kidogo maana licha ya yote bado namhitaji
Nishajaribu kumwambia ajaribu mwanaume mwingine lakini yeye anatafsiri kama simuhitaji hivyo natafuta mbinu ya kumuacha hali inayopelekea kuanza kulia
kwa kweli sijawah kumuonja
Mahusiano rasmi yana kama miezi 2
Hujakosea Mkuu, ishu ni punyeto.Matatizo yako binafsi usiyahusishe na nyeto
oi mwenyekiti wa kwenye tembele la uwaniWewe ndio umechezewa Mkuu amini hilo kuna kati ya wanawake wako amekutega kwamba ukienda kwa huyo mpenzi wako ngoma ilale cross check
Haha nimerudi tena, vipi lile jini mlimalizana nalo?oi mwenyekiti wa kwenye tembele la uwani