Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 456
- 1,003
Matatizo yako binafsi usiyahusishe na nyetoMiaka ya nyuma niliwah kupiga punyeto pengine ndo sababu
mmmh haya mambo nayasikiaga tu kwa watu hasa mwisho wake itakuajeWewe ndio umechezewa Mkuu amini hilo kuna kati ya wanawake wako amekutega kwamba ukienda kwa huyo mpenzi wako ngoma ilale cross check
Nakazia kamwe usije kuruhusu jike likushike shike mshedede wako piga usepeWewe ndio umechezewa Mkuu amini hilo kuna kati ya wanawake wako amekutega kwamba ukienda kwa huyo mpenzi wako ngoma ilale cross check
Kwenye kuachana hapo sijui ila ashaniambia aliolewa ndoa ikamshindapole kaa nae umuulize mahusiano yake ya nyuma kama aliachana na mwezie vizuri na pia umueleze ukweli kwamba kwa mwingine unaichapa vizuri, kama mnaelewana hebu mruhusu na yeye aigawe nje alf aone hali itakuaje
kwahiyo haujawahi kumuonja hata kidogo? na mahusiano yenu yana mda gani
Shule kufunguliwa sijuiSHULE ZINAFUNGULIWA LINI?
sa miezi miwili mbona michache mshaanza kuombana vikojoleo si mzoeane kwanza ili mfahamiane vizuriKwenye kuachana hapo sijui ila ashaniambia aliolewa ndoa ikamshinda
Kwenye kumwambia ukweli naona ugumu kidogo maana licha ya yote bado namhitaji
Nishajaribu kumwambia ajaribu mwanaume mwingine lakini yeye anatafsiri kama simuhitaji hivyo natafuta mbinu ya kumuacha hali inayopelekea kuanza kulia
kwa kweli sijawah kumuonja
Mahusiano rasmi yana kama miezi 2
Ndo njia pekee iliyokuwepo ili nijiridhisheMnapendana sana ndio ukajaribishe kwa mwingine? Ebu muulize na yeye akienda kujaribisha kwa kidume kingine inakuaje , ili tujue pakukushauri
Mhuruhusu akang'atwe na mwamba mwingine kama wewe ulivyofanya ,then akikupa jibu inapita tutajua wapi pakuanzia kwenye tiba yakoNdo njia pekee iliyokuwepo ili nijiridhishe
nishamuuliza na akasema hapo nyuma hakuwa na shida
Hiyo miezi 2 ni mahusiano rasmi sijaweka muda wa kufahamiana,kuanzisha urafiki,kumtongoza,mpaka kuja kukubalisa miezi miwili mbona michache mshaanza kuombana vikojoleo si mzoeane kwanza ili mfahamiane vizuri
nitafanya hivyoShule kufunguliwa sijui
Mitaa unayokaa hamna shule uende ukaulizie hata kwa mlinzi wa shule
Nitajaribu ingawaje nishamwambia akaona kama namtafutia sababu ya kumuachaMhuruhusu akang'atwe na mwamba mwingine kama wewe ulivyofanya ,then akikupa jibu inapita tutajua wapi pakuanzia kwenye tiba yako
hapo sawa,, ila mwambie afunguke kwako sababu zilizo mtoa kwenye ndoa usikute yeye ndo chanzo, ujue mambo ni mengi kwa groundHiyo miezi 2 ni mahusiano rasmi sijaweka muda wa kufahamiana,kuanzisha urafiki,kumtongoza,mpaka kuja kukubali
lakini hajasema kama anashida ya nguvu za kiumePole sana,tatizo hili ni halisi japo hapa wanakufanyia mzaha,lakini sisi tulioko kwenye fani ya tiba tunajua.Nusu ya wagonjwa wengi vijana na wale wanaoelekea kuuacha ujana wana tatizo la nguvu za kiume.
Kwa kuwa unahitaji msaada wa haraka,unaweza kuni PM tukajadili kidogo.
Shukrannitafanya hivyo
ila nenda kwa babu akupe dawa ya kuondoa hilo juju alilokupa demu mmojawapo