Mpenzi wangu nikiingia nae 'room' ngoma inagoma. Nachokomaje?

Mwambie atume salamu studio kwanza akiweza kumudu mic na frequency zikaenda unamwambia si unaona sasa kitumbua hiko kina mushkeri.. next time mwambie atume salam
 
Ufe kwa ukimwi

1 Kor 6:18-20​


Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe. Au hamjui ya kuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu? Wala ninyi si mali yenu wenyewe; maana mlinunuliwa kwa thamani. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
 
Apa ndo tatizo lilipo huyo ni mke wa mtu achana nae
 
Pole!

Ni Hali ya kawaida!sio kila kitu ni cha kila mtu!usilazimishe mkuu!mwache kiaina na maisha yake!
Kuna jambo BAYA una epushwa nalo!

Aidha sio wako au ana jini mahaba Lina wivu ndio maana halitaki umgonge!

Ukilazimisha utakachokutana nacho usije laumu mtu!

Mboo Ina reaction tofauti tofuati kutokana na aina ya mtu,hai react na kila manzi tambua hiyo!!

Kuna jamaa mmoja alilazimisha ishu kama hiyo alipata mikosi Hadi akakimbia kazi inayo mlipa vizuri!
 
Mpenzi wake na huyo mpenzi wako anachezesha game, siku ikikubali si ajabu baada ya mchezo ikalala mazima, shituka!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…