Mpenzi wangu nikiingia nae 'room' ngoma inagoma. Nachokomaje?

Fanya mazoezi ya kegel na jogging kujenga confidence kama mwanaume. Baada ya muda mfuoi utakuwa sawa sana.
 
Em mwambie naye akajaribishe kwa kidume mwingine tuone Kama itadinda na kuingia..!!
 
Kama ngoma inalala kwake tu na wew ukilala na wanawake ata watatu tofaut na ngoma haisumbui.
Basi Huyo Demu kafungwa huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…