Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Mapenzi haya-workout siku hizo,tafuta tu https://jamii.app/JFUserGuide mate,utaumiza moyo bure, mapenzi tulipendana siye maanko zenuHello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
Nipe papa nikupe mbinu tumrushe roho week moja tu ashapata wivu na kuanza kuona thamani yakoHello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
Wangu akiona naongea na simu afu napunguza sauti huwa ni kesi,eti unapunguza sauti ili nisisikieKuna bidada alilia sababu ya alarm ya simu. Inaita mwamba ana snooze anaendelea kulala kachoka kuamka kusoma.
Baada ya masaa 2 anaamka anakuta mtu analia kakaa sakafuni.. eti mademu wako wanakupigia unaikaba koo simu.
Acha wivu wa kitoto.
Hakuna lolote zaidi ya wivu. Acha awasaidie watu.
Pambania kombe,jifanye umejizima data flirting ni kutest mitambo,jitahidi kupotezea anza kufikiria maendeleo acha vitu vidogo na wewe jichukulie mmoja muanze kupiga story usife na tai shingoni please kuwa busy na mipango yako ya maendeleo.Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
Kazini ukijifanya serious sana unaonekana hovyo pia100% hana uhusiano na hao watu.
Ni vile Yuko huru kufanya hivyo mbele yako.
Mkuu kitu kama hakikupi manufaa yeyote haina haja kung'ang'ana. Katika ayo maumivu ya mapenzi aliyonayo yeye ndie mwamuzi, kama anataka kujenga ukuta ama kujenga daraja.Sio rahisi hivyo kuachana na mapenzi, atafute mbadala tu
Maumivu hayafichwi.Kama umeshamwambia inatosha acha kisirani. Wanaume siku zote kitu unachokilalamikia mara kwa mara ndicho huendelea kufanya. Hivyo jifanye nawe kama hilo jambo halikuumizi mbele yake sometimes unaweza kukuta wamekaa hivyo unawasalimia tu unacheka muda mwingine mtanie ushamsalimia fulani leo? Akiona una furaha kama kweli anakupenda atakufuata mzungumze ndipo utamwambia tena kwa upole tu nilikuacha ufurahie maana inaonekana ndicho kinachokupa furaha.
Sasa nifanyaje jaman πBasi ni wivu unakusumbua, kosa kubwa litakalokugharimu ni kutaka kufanya kitu ili umuumize, amini kwamba hatoumia na utazidi kuumia mara dufu.
Kinachomkera huyu demu ni ile hali yao ya kuchukulia wapenzi wao kama Appliance π!Kama umeshamwambia inatosha acha kisirani. Wanaume siku zote kitu unachokilalamikia mara kwa mara ndicho huendelea kufanya. Hivyo jifanye nawe kama hilo jambo halikuumizi mbele yake sometimes unaweza kukuta wamekaa hivyo unawasalimia tu unacheka muda mwingine mtanie ushamsalimia fulani leo? Akiona una furaha kama kweli anakupenda atakufuata mzungumze ndipo utamwambia tena kwa upole tu nilikuacha ufurahie maana inaonekana ndicho kinachokupa furaha.
Anakuchukulia kama appliance yake yani upokee commands zake zote kama anavyoifanyia simu yake ya mkononi.Dizain ya wanawake kama wewe mimi mwenyewe siwapendi. Na bahati mbaya nimeoa mke kama wewe. Eti kumpunguzia majukumu kazimate wake ksbb ni ke ni tatizo?.
Huyo mpenzi wako ni charming tu. Anapenda kushare na wenzie wote kazini habagui,ndivyo alivyo. Lakini wewe umechagua anaotakiwa awabague,umechagua kuwa na wivu kupitiliza. Wewe huwezi kuolewa na INSIDER MAN
Ona huyu connection ya kazi kapewa bado anataka kumcontrol mwanaume hadi kazini huko kuwa na shukran wewe alafu acha mtu aishi maisha yk unamkaba kila angle wewe ndio ulimzaa?Hello JF natumai mko poa.