Village-in
JF-Expert Member
- Aug 30, 2022
- 2,184
- 4,517
Dizain ya wanawake kama wewe mimi mwenyewe siwapendi. Na bahati mbaya nimeoa mke kama wewe. Eti kumpunguzia majukumu kazimate wake ksbb ni ke ni tatizo?.
Huyo mpenzi wako ni charming tu. Anapenda kushare na wenzie wote kazini habagui,ndivyo alivyo. Lakini wewe umechagua anaotakiwa awabague,umechagua kuwa na wivu kupitiliza. Wewe huwezi kuolewa na INSIDER MAN