Mpenzi wangu simuelewi

Sasa nifanyaje jaman 😭
Punguza wivu we mdogo wake na Leejay.

Watu wanaofanya kazi pamoja kwa muda mrefu hujenga mazoea sana na hii hupelekea kuwa karibu, kutaniana, kupiga stori za ajabu ajabu, ujinga mwingi n.k.

Haimaanishi kwavile sasa wewe umeajiriwa hapo, watu waache kuongea, kucheka, kutaniana, kusaidiana kazi nk kisa wewe.
 
Mimi nikitaniana na wanaume wengine anakasirika inakua ugomvi why?
 
Mimi naumi Sasa
 
Ushapata kazi ? Shukuru, piga kazi, achana na MAPENZI, huyo ni Malaya Mbwa!
 
Balance equation !kama Kuna wa kiume karibu hapo na wewe mzoee muwe mnapiga story Huku ukichapa kazi!!

ACHA kujipa stress!!

Utaona matokeo!
 
Sikia!!Lee Mamii,,Maisha Mafupi mnoo kipenzi Changu,,,kwa nini uumie kwa Ajili ya Mwingine tuko more than 7b.people in this World,,na kila mtu ni unique kwa namna alivyoumbwa just like 'a fingerprint',,,Tupa kulee huyo,,Kama hutojali tuwasiliane nasi tufliti Twaisi kwa kila pigo moja la Mioyo Yetu,,Luvv uu Leeh!!💞💞💞
 
Wewe dada mpuuzi kweli, umemkuta hapo oficini kwao, amezoana na staff wenzake, kuja wewe tu unaleta sheria zako....jamaa kazingua sana kukuleta hapo.
 
Mi naona zingatia zaidi hiyo kazi aliyokupatia .
Mambo yake muachie mwenyewe na hata ukiamua kumuacha sio ndo usahau na wema aliokufanyia coz yawezekana ni malaya ila roho nzuri anayo
 
Mi naona zingatia zaidi hiyo kazi aliyokupatia .
Mambo yake muachie mwenyewe na hata ukiamua kumuacha sio ndo usahau na wema aliokufanyia coz yawezekana ni malaya ila roho nzuri anayo
Duh aiseee kumuacha mtu unayempenda ni kazi kubwa sana
 
Hahaha hii imetokea usiku wa jana kwangu. Ikabidi nichukue simu saa 11 asubuhi nakuanza kumuonesha Snoozing inavyofanya kazi. Kajiona mjinga kweli😂😂
 
Nipe mbinu za kumuumiza na yeye aumie
Ningemjua huyo jamaa ningemshauri akuache na ahakikishe na hiyo kazi aliyokutafutia unafukuzwa.

Yani mtu anacheka na wafanyakazi wenzake we unazunguka huku kutafuta mbinu za kumuumiza hivi una akili kweli wewe..?
 
Nataka aumie mbona na Mimi naumia anaongea mambo ya mapenzi mbele yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…