- Thread starter
- #61
NamvutiaKuna uwezekano mkubwa humvutii kingono.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NamvutiaKuna uwezekano mkubwa humvutii kingono.
Punguza wivu we mdogo wake na Leejay.Sasa nifanyaje jaman 😭
Mimi nikitaniana na wanaume wengine anakasirika inakua ugomvi why?Punguza wivu we mdogo wake na Leejay.
Watu wanaofanya kazi pamoja kwa muda mrefu hujenga mazoea sana na hii hupelekea kuwa karibu, kutaniana, kupiga stori za ajabu ajabu, ujinga mwingi n.k.
Haimaanishi kwavile sasa wewe umeajiriwa hapo, watu waache kuongea, kucheka, kutaniana, kusaidiana kazi nk kisa wewe.
Mimi naumi SasaPunguza wivu we mdogo wake na Leejay.
Watu wanaofanya kazi pamoja kwa muda mrefu hujenga mazoea sana na hii hupelekea kuwa karibu, kutaniana, kupiga stori za ajabu ajabu, ujinga mwingi n.k.
Haimaanishi kwavile sasa wewe umeajiriwa hapo, watu waache kuongea, kucheka, kutaniana, kusaidiana kazi nk kisa wewe.
Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
Balance equation !kama Kuna wa kiume karibu hapo na wewe mzoee muwe mnapiga story Huku ukichapa kazi!!Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
We kinachokuumiza ni nini hasa?Mimi naumi Sasa
Punguza wivu kazini.Sasa nifanyaje jaman 😭
Kinachoniumiza ni kua mademu Wana flirts Kwa my man roho inaniuma nahisi watadateWe kinachokuumiza ni nini hasa?
Duh aiseee kumuacha mtu unayempenda ni kazi kubwa sanaMi naona zingatia zaidi hiyo kazi aliyokupatia .
Mambo yake muachie mwenyewe na hata ukiamua kumuacha sio ndo usahau na wema aliokufanyia coz yawezekana ni malaya ila roho nzuri anayo
Nipe mbinu za kumuumiza na yeye aumieWewe dada mpuuzi kweli, umemkuta hapo oficini kwao, amezoana na staff wenzake, kuja wewe tu unaleta sheria zako....jamaa kazingua sana kukuleta hapo.
I know dear.Duh aiseee kumuacha mtu unayempenda ni kazi kubwa sana
Hahaha hii imetokea usiku wa jana kwangu. Ikabidi nichukue simu saa 11 asubuhi nakuanza kumuonesha Snoozing inavyofanya kazi. Kajiona mjinga kweli😂😂Kuna bidada alilia sababu ya alarm ya simu. Inaita mwamba ana snooze anaendelea kulala kachoka kuamka kusoma.
Baada ya masaa 2 anaamka anakuta mtu analia kakaa sakafuni.. eti mademu wako wanakupigia unaikaba koo simu.
Acha wivu wa kitoto.
Hakuna lolote zaidi ya wivu. Acha awasaidie watu.
Ningemjua huyo jamaa ningemshauri akuache na ahakikishe na hiyo kazi aliyokutafutia unafukuzwa.Nipe mbinu za kumuumiza na yeye aumie
Nataka aumie mbona na Mimi naumia anaongea mambo ya mapenzi mbele yanguNingemjua huyo jamaa ningemshauri akuache na ahakikishe na hiyo kazi aliyokutafutia unafukuzwa.
Yani mtu anacheka na wafanyakazi wenzake we unazunguka huku kutafuta mbinu za kumuumiza hivi una akili kweli wewe..?
Hakuna mbinu! Kuwa mdada anayejielewa na kujiamini, angekuwa na mwanamke asingekuleta hapo..Nipe mbinu za kumuumiza na yeye aumie