Mpenzi wangu simuelewi

Mpenzi wangu simuelewi

lee jack

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
1,062
Reaction score
1,871
Hello JF natumai mko poa.

Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.

Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.

Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.

Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?

Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?

Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.
 
Niliwahi kugombana na wife kisa nilimbania mdogo wake kumpa mchongo ulikuwa ndani ya uwezo wangu ofisini.

Nilimwambia live sitaki kuwa mnafiki kufanya kazi na ndg sehemu moja ni majungu. Huyo shem nikamtafutia sehemu nyingine. Sasa nashangaa huyo mpenzi wako kukubali mfanye kazi sehemu moja
 
Hello jf natumai mko poa...Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza Sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi Yao kitengo alichopo nikaanza kazi
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke Fulani hapa kazini nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani
Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nn?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi
Ushauri tafadhalini nitumie njia gani na Mimi nimuumize aache kunisumbua
Fanya same shit hapo hapo kazini, dawa ya moto ni moto
 
Niliwahi kugombana na wife kisa nilimbania mdogo wake kumpa mchongo ulikuwa ndani ya uwezo wangu ofisini.

Nilimwambia live sitaki kuwa mnafiki kufanya kazi na ndg sehemu moja ni majungu. Huyo shem nikamtafutia sehemu nyingine. Sasa nashangaa huyo mpenzi wako kukubali mfanye kazi sehemu moja
Na Mimi nilimueleza kua tukifanya kazi sehemu moja italeta shida
 
Kuna bidada alilia sababu ya alarm ya simu. Inaita mwamba ana snooze anaendelea kulala kachoka kuamka kusoma.
Baada ya masaa 2 anaamka anakuta mtu analia kakaa sakafuni.. eti mademu wako wanakupigia unaikaba koo simu.

Acha wivu wa kitoto.
Hakuna lolote zaidi ya wivu. Acha awasaidie watu.
 
Kuna bidada alilia sababu ya alarm ya simu. Inaita mwamba ana snooze anaendelea kulala kachoka kuamka kusoma.
Baada ya masaa 2 anaamka anakuta mtu Amalia kakaa sakafuni.. eti mademu wako wankupigia unaikaba Koo simu.
Acha wivu wa kitoto. Hakuna lolote zaidi ya wivu. Acha awasaidie watu.
Kwa hiyo unataka kuniambia hatoki na huyo demu
 
Angalia faida za muda mrefu kwa lolote unaloliendea

Long run benefits

Maana MTU amekutaftia kazi hiyo Kazi inakupa ,hela unatimiza mipango na unaishi maisha yako safi .

Sasa kwa hilo tu inaonesha MTU wako sio mbinafsi ,anataka usonge mbele.

Kuhusu kumuumiza ukiwa na lengo hilo utaumia wewe na sio MTU wako.

Ufanye nini?

Ukimtazama MTU wako yaweza kuwa hata hana lengo la kukuumiza Ila ni attention seeker so usimuhukumu Ila nenda naye taratibu . asipobadilika badilika wewe.

Jiepushe na negativity sehemu yoyote uliyopo Katika mabaya mengi wewe tazama mazuri.
 
Niliwahi kugombana na wife kisa nilimbania mdogo wake kumpa mchongo ulikuwa ndani ya uwezo wangu ofisini.

Nilimwambia live sitaki kuwa mnafiki kufanya kazi na ndg sehemu moja ni majungu. Huyo shem nikamtafutia sehemu nyingine. Sasa nashangaa huyo mpenzi wako kukubali mfanye kazi sehemu moja
Ulifanya uamuzi wa busara chief
 
Back
Top Bottom