Hello JF natumai mko poa.
Nina mpenzi wangu ambaye ananiumiza sasa sijui ni makusudi au nimeshindwa kumuelewa.
Ni hivi Mimi ni ke yeye ni muajiriwa kwenye taasisi private kubwa tu hapa Dar basi akanipa connection kwenye ofisi yao kitengo alichopo nikaanza kazi.
Kinacho nichanganya anapenda sana kuflirt na mwanamke fulani hapa kazini, nimejaribu kuongea nae aache ila ni kama hataki kuacha wanaongea story za mapenzi mbele yangu sometimes wanasogeleana na pia wanasaidiana kazi na hata kumpunguzia majukumu huyo mwanamke.
Baada ya kuchoka na kuamua kumpotezea saivi ameanza tena kuflirts na Wanawake wa department nyingine nashindwa kumuelewa ana shida gani. Ni anataka kuniumiza nimuonee wivu au ni nini?
Mtu wa design hii naweza kuishi nae vipi ukitegemea tupo ofisi Moja na sina mpango wa kuacha kazi?
Ushauri tafadhalini, nitumie njia gani na mimi nimuumize aache kunisumbua.