Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

Ana muda mzuri atafute pesa tu mengine yatajipa yenyewe. Wanawake atachagua mwenyewe na kuamua yupi atatengeneza naye future.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hivi nyie wavulana bado tu hamuelew,,,,,rafiki yako na ndugu yako ni mamako mzazi pekee!!!!Sasa nyie ndo wale mnajisahau mnajipendekeza kwa walimwengu.Mwenzako aliingia kwenye mahusiano akiwa SMART.Wewe ukatanguliza moyo badala ya akili,mwishoni unajikuta umefanya uwekezaji mkubwa zaidi wa kimalengo na wa kihisia zaidi ya mwenzako.

Anza kujipambanua upya upange mipango upya uoni jinsi gani unajinasua kwenye huo mtego. Huyo msichana ameshaanza kumtafuta wa hadhi yake, wewe ulikuwa wa kumpa kampani😄😄😄 na ukajisahau ukachonga mzinga.

Stuka na uamke hapo kajitafute ukizipata, ndo uanze kuwaza utapeli unaitwa MAPENZI.
 
Umemaliza.
Maisha ni mafupi, enjoy your days
 
Huyo amesha kuacha hata tukikushauri haita saidia alikuja na mikakati ili umvushe kipindi ambacho hakuwa na kipato.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…