Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
 
Am fuQUOTE]Ulikua mchepuko wake, hukujua, pole
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Hapo umezidiwa kete, mwenzako kasukuma kete hadi king, wewe ndio ulikua plan B kwa huyo demu.
 
Kweli tunatofautiana sana. HILI NALO MKALITAZAME.

Yaani mimi na Komwe langu hili eti nimekaa kabisa namlilia mtoto wa mtu, eti hata kula nashindwa jamani nalia hadi KWIKWI, khaaaa WE HUOGOPII!

Kwa jinsi Mungu alivyonibariki sitarajii kutoa chozi kwa ajili ya kichogo yoyote.

Anayetaka kukaa na mimi akae, asiyetaka akwende zake. Tena aondoke haraka kabla hajachelewa. HATA AWE NANI, SIANGALII SURA, WE HUOGOPI?

Cc: Lamomy Kapeace mshamba_hachekwi Extrovert
 
Me katika maisha yangu ya mahusiano nikishaona kuwa me na gal wangu tuna gombana Sana kila wakati hapo tayari akili yangu inakuwa na red flag sisubiri kuambiwa kuwa kuna mtu ana mzuzua

Taratibu huwa Nina Anza kujiondoa ktk himaya yake mapema ili huko mbele isije kuwa Shida kubwa

Feel sorry
 
Pole sana mwanangu

Mara nyingi kama sio mara zote ukiona mwanamke anamuacha mwanaume kwa style hiyo jua kuwa huyo mwanaume ana madhaifu makubwa mno. Kuna sehemu toka mwanzo ulikosea kwenye mahusiano yenu

Sio kesi hayo yatapita. Kuna sehemu nzuri kama upo tayari nikuweke
 
Back
Top Bottom