Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Pole mkuu, nshapita hayo naelewa unachopitia. Mwezi wa pili tare 6 napiga machine siku ya ijumapil 2022 siku ya ijumatano tare 9 mwezi wa 2 mwaka huo huo natumiwa msg kua anaolewa, kweli baada ya miezi miwili niliishia kuona picha za harusi mitandaon kwa madem wenzake wakimpost.

Tulikaa kwenye mahusiano miaka 5, na nilikua na lengo la kumuoa kabisa.

Madem wengi ni wasengee hawajali kiasi gani uliwekeza kwao wao wanaangalia furaha zao tu tena za muda mfupi. Baada ya hapo niliamua kujipenda na kujipa kipaumbele mm tu nasio kumpenda kima yeyote Tena.
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
We mtu mkubwa sana hapa JF... umekuaje mtoto ghafla!??
 
Pole chukulia huyo hakuwa wako, hakupangwa awe wako. Una wako atakuja nayeye kishapata wake.
Tuliza akili, usimfanyie chochote kibaya. Mapenzi hayalazimishwi, huwezi kuondoka kwa mtu unayempenda kwa dhati, No matter what.

Sasa itakuaje na mshahara bado? 😅😅😅😅😅😅
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Why do you fukin care? Bro dont even respond. Ame walk away kubali, heal, move on
It not easy, but in the long run utawin tu

Take it kama fundisho, now nenda kasake mafanikio kwa force, zitakuja pisi quality by then huyo utamuona wa kawaida

Unampa nafasi kwenye ubongo wako wakati yeye hakuwazi
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Ganga yajayo Mkuu inauma sana, Kuna Binti nilijuana naye toka mwaka 2009 na tulikutana sehemu tofauti na tukajikuta tumetengeneza upendo kabisa. Upendo usio kuwa na chembe ya uoga. Na yeye alikuwa wa kwanza kunipeleka kwao na alikuwa anafosi sana niende. Aisee nilioneshwa heshima ya juu na Binti aliandaa chakula cha asili yetu Wanyantuzu, Makande yale magumu kama ugali. Mlenda na ugali wa dona na Mziwa wa Mtindi. Nikala na Mshua wake mezani, Aisee ile moment imechukua muda mrefu kunitoka. Cha kushangaza alipata kazi mkoa tofauti eeh na mawasiliano yakawa mabovu mara hapokei, mara anajibu kikauzu sana. Heeeh Mwaka 2022 Nov naona kwenye status yake Ameshakuwa Mrs Somebody. Wanawake wana mipango zaidi ya milion kichwani
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.

Pole sana.

Ntarudi .............
 
Nifanyeje, nilete uswahili au? Nina picha zake mbaya sana
Sikushauri ufanye utoto kama huo na tena ni upumbavu. Wanawake wamejaa kibao, cha msingi tulia tuli uingie tena kwenye mawindo na huku ukimuomba Mungu utampata aliye wako. Naamini huyo mwanamke ulimpenda sana ila yeye hakukupenda au upendo uliyeyuka katikati ya safari! Pole sana mkuu
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Vitu vingine hutokea sabb ni """DIVINE PURPOSES""
Jifunze KU MOVE ON... JIFUNZE KU LET IT GO itakusaidia maishani.

Japo LOVE IS A MENTAL ILLINES pia love is just like a war easy to start difficult to end.

Nukuu ya baba wa taifa.
""UTII UKIZIDI SANAA HUZAA UOGA, UOGA UKIZIDI SANA HUZAA UNAFIKI NA KUJIPENDEKEZA NA MWISHO WAKE NI MAUTI""
 
😂😂😂😂kwa ninavyosomaga mitizamo ya wanaume humu huwa siamini kama na nyie mnaumiaga kweli, hapa mwenzio naona kama unajifanyisha tu au km ni kweli basi ulikuwa mzembe! Ila kuna raha flani naipataga mkiweweseka kama hivi maana na nyie kwa kupiga matukio mnaongoza ubao,

Hana mwisho mwema, kukujulisha kaolewa ni anakuringishia, inaonekana bado anakupenda sana best revenge ni fanya juu chini umkule halafu mpe shits 3 za kumkosesha raha ili kokote atakakokuwa asirudie tena,

Ndo yule ulimnunulia kile kipodozi cha elf 50?
 
Back
Top Bottom