Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing
Waache waowane Ehh!, Be strong mwambie tu siku moja moja akuletee uipige.
 
😂😂😂😂kwa ninavyosomaga mitizamo ya wanaume humu huwa siamini kama na nyie mnaumiaga kweli, hapa mwenzio naona kama unajifanyisha tu au km ni kweli basi ulikuwa mzembe! Ila kuna raha flani naipataga mkiweweseka kama hivi maana na nyie kwa kupiga matukio mnaongoza ubao,

Hana mwisho mwema, kukujulisha kaolewa ni anakuringishia, inaonekana bado anakupenda sana best revenge ni fanya juu chini umkule halafu mpe shits 3 za kumkosesha raha ili kokote atakakokuwa asirudie tena,

Ndo yule ulimnunulia kile kipodozi cha elf 50?
Wakitendwa nyuzi za kataa ndoa kila kukicha, wanageuka watoa ushauri nasaha.
 
Alikua chuo, kamaliza tu chuo ndio imetokea hivo, ata graduu bado ni November,
Mkuu umejoin JF 2010...
Definitely kwa mwaka huo kujiunga JF you must be 40 plus now .. sijui labda kama ulikuwa earliest elites wa internetes...lakini hata hivyo hupungui 35+ of age.

Asa huyo binti anayemaliza chuo leo ..vipi tena!??
 
Huyu nimemuhurumia kidogo sijui kwanini au ushauri wangu hapo chini niufute, naona anajiandikia comment kumi kumi😂😂 huyu hanaga vurugu lakini, ila kuna wenzie nimeshawaona ingekuwa hao ningewaongezea maumivu
Wengine tuna roho ngumu tushapigwa matukio na hata hatujaandika kokote ni vile tu Pole pole ndio Mwendo. Na haraka haraka haina baraka japo na ngoja ngoja nayo huumiza matumbo 🤣🤣🤣
 
Mkuu umejoin JF 2010...
Definitely kwa mwaka huo kujiunga JF you must be 40 plus now .. sijui labda kama ulikuwa earliest elites wa internetes...lakini hata hivyo hupungui 35+ of age.

Asa huyo binti anayemaliza chuo leo ..vipi tena!??
Form 6, bellow 35, nimejuana nasoma Masters yeye degree, if it will help
 
Wengine tuna roho ngumu tushapigwa matukio na hata hatujaandika kokote ni vile tu Pole pole ndio Mwendo. Na haraka haraka haina baraka japo na ngoja ngoja nayo huumiza matumbo 🤣🤣🤣
Bado hujapigwa vizuri, mad max umemsoma lakini? Unafikiri ndo demu wake wa kwanza kumuacha, namsomaga km hanaga fujo sana lakini amefikia kuwaza hata kuanika picha zake mbaya ujue mwamba UMEPATWA
 
Come on man! Don’t be a simp.
Nimepata new vocabulary..

Simp (/sɪmp/) is an internet slang term describing someone who shows excessive sympathy and attention toward another person, typically to someone who does not reciprocate the same feelings, in pursuit of affection or a sexual relationship.

Mzee umemmaliza kabisa aache kua SIMP😊
 
😂😂😂😂kwa ninavyosomaga mitizamo ya wanaume humu huwa siamini kama na nyie mnaumiaga kweli, hapa mwenzio naona kama unajifanyisha tu au km ni kweli basi ulikuwa mzembe! Ila kuna raha flani naipataga mkiweweseka kama hivi maana na nyie kwa kupiga matukio mnaongoza ubao,

Hana mwisho mwema, kukujulisha kaolewa ni anakuringishia, inaonekana bado anakupenda sana best revenge ni fanya juu chini umkule halafu mpe shits 3 za kumkosesha raha ili kokote atakakokuwa asirudie tena,

Ndo yule ulimnunulia kile kipodozi cha elf 50?
Acha nikuibie siri, tunaumia pale tunamkuta mtu mlie achana kanona na kanawiri halafu hana stress🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom