Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Sikiliza ngoma ya marioo -yupo

Yaani ile inayoimbwa "hivi kweli yupo mwenye roho mbaya kukushinda maana me sijaona duniani

We mtu gani uko radhi mwenzako ateketeee wakati unajua dawa yake ya kumponya......"

Hakikisha unaifeel kweli kweli

Halafu malizia waache waoanee ya diamond
 
Haha mzee wa kataa ndoa hadi wewe? tulia kwanza. kweli nimeamini hakuna bingwa wa mapenzi.

Kwanza mkuu amini hakuwa fungu lako, tulia mwache aishi maisha yake utapata mwanamke mzuri zaidi yake na utaona kama ni bora alikuacha.

Yalishawahi kutokea huko nyuma sio wa kwanza na tulishaoa wanawake wazuri kuliko wao na sasa wao ndio wanatuonea wivu,kwahiyo tulia endelea kuamini usijichanganye zaidi ukaharibikiwa.
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
mpaka anakutumia msg kukutaarifu ina maana anakutaka alitaka akuumize. baadaye mtaanza kupasha. sasa kama mmeachana mwezi wa 8 ndani ya miezi 2 anaolewa huenda walikuwa pamoja muda pia.
 
Mwanamke muda wake upo limited and calculated.

Hivyo wakati we unampa ahadi za kumuoa , anaweza kutokea MTU siku hiyo akatoa mahari na kumvisha Pete na kumuoa.

So usiwe too judgmental Kuwa kwanini umeachwa .

Hapo ni jufanya detachment na kushukuru .


Na Kama ulikuwa unampenda kweli hauwezi kusikia maumivu yoyote .

Maana MTU anayempenda lazima pia utapenda kuona na mafanikio yake.

Wewe haukufanikiwa kumuoa Ila wengine wamemuoa so nikumtakia ndoa njema .


Huo wivu unatokana na ile hali ya ubinafsi ya kujimilikisha MTU kitu ambacho sio sahihi.
 
1. Amekuacha sababu ulipwaya sehemu..focus on improving yourself, physically, mentally, then tafuta hela, all than ever before. Baada ya miezi mitatu, sita, mwaka utakuwa mtu mpya. AU;
2. Tafuta mwanamke oa. Haya mambo hayanaga formula. Unaweza ukamchunguza 2 yrs, kesho yake akakusaliti, or mnaweza kujuana kwa mwezi mmoja and thereafter live happily forever. So kama vp tafuta headache yako moja unayoimudu then endelea kumeza panadol taratiiibu. Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom