Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tafuta hela babu achana na huo ujinga. she never loved you elewa tu hivyo.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Am loosing it.

Hapana. Kausha. Just move on, bro.Nifanyeje, nilete uswahili au? Nina picha zake mbaya sana
Pole sana mwanangu
Mara nyingi kama sio mara zote ukiona mwanamke anamuacha mwanaume kwa style hiyo jua kuwa huyo mwanaume ana madhaifu makubwa mno. Kuna sehemu toka mwanzo ulikosea kwenye mahusiano yenu
Sio kesi hayo yatapita. Kuna sehemu nzuri kama upo tayari niku
Potezea tu mkuuAu nipotezee tu? Ila kwann kafanya ivi
Pole sana. Ilaaaaa.... ndio nini kumuweka mwenzio miaka 4 yote? Aliona huelekei akaambaa na aliyeserious maisha yaendelee. Ni mwanamke, mayai yake haya subiri. Amepoteza 4 years of her fertile life kukusubiri.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Najua akili haipo stable kwa sasa cha kukushauri kwa haraka haraka kwanza kabisa usifanye maamuzi yoyote ya kujibu izo jumbe zake.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Alikua chuo, kamaliza tu chuo ndio imetokea hivo, ata graduu bado ni November,Pole sana. Ilaaaaa.... ndio nini kumuweka mwenzio miaka 4 yote? Aliona huelekei akaambaa na aliyeserious maisha yaendelee. Ni mwanamke, mayai yake haya subiri. Amepoteza 4 years of her fertile life kukusubiri.
Ewe mwanamke, mwanamme ni miezi 3 mpaka mwaka 1, ikizidi sana miwili awe amekuweka ndani. Kama hamna, kimbia usigeuke nyuma, anakupotezea wakati
Come on man! Don’t be a simp.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Sikia: huyo mwanamke alikuacha mkiwa bado mna-date. Akavumilia maumivu ya kuachana na wewe mkiwa bado mna-date na akatafuta replacement mkiwa bado mna-date. Hao ndio wanawake. 😂 Good news ni kwamba atarudi. Make sure akirudi haumpi nafasi nyingine.Shit uyu manzi kazingua aisee