Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didnโ€™t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didnโ€™t see this coming!

Yaan ndani ya miezi 2 yeye ashapata bwana na kaolewa kwa Ndoa?
Duuuh Dada ana bahati na nyota yake mjini!!! Sasa wee Brooh, miaka 4 unamchezea mdada wa watu? Wee huogopiii?
Poleee sana kwa kuachwaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email sheโ€™s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Msichana kapunish to the maxmum kulaleki hadi akili zimekusogea, hataki ujinga.

Siku nyingine usije kuridia kununia msichana, wanawake hawanuniwi.

Yakupasa uyakubali matokeo pamoja na maamuzi yake.

Pole sana mkuu, umechezea shilingi chooni na sasa imetumbukia wabakia kuwaya waya.
 
You are just a fuckin.. fool bro.

Ulikuwa una mahusiano na mtarajiwa wa watu for four good years. Na huo ugomvi wa August was staged. Ili muachane, aweze kuolewa.

Unakuaje na mahusiano na mchumba wa watu na usitambue? Akili umeelekeza kwenye matoleo mapya ya magari pekee?


Just take it in, my friend. Youโ€™re meant for a hard conclusion.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Back
Top Bottom