Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Yap uwa ni changamsha genge ila kuna watu wanachukulia seriousHalafu mie huwa nachukulia ni changamsha genge tu, kuwakera wale wanaotesekaga na watumishi wa umma😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap uwa ni changamsha genge ila kuna watu wanachukulia seriousHalafu mie huwa nachukulia ni changamsha genge tu, kuwakera wale wanaotesekaga na watumishi wa umma😂😂😂
Walikuwa wanasema hivo hivo kama wewe, tamaa zao ka zako zikawaponza wapenda vya Bure, nikawalamba dodo, liwa uliwe, wapenda vya wanaume lazma uliwe.Unawapata wanuka mavi wenzio firaneni ikibidi mjipake kabisa
Aaah wapi😂😂😂Huyo akwende nimesha mreplace na bia ya baridi na nyama choma🤣
Wewe ni kukazia tu ,tunahitaji maoni yako😅Nakaziaaaaaa!!!!
Yumo tena zile siti za mwanzoni kabisa 🤣Hivi huyu yumo kwenye hilo kundi? 😂😂😂sasa anaumia nini wakati kumuoa asingemuoa, wanaume ni mabinafsi sana
shindikana nitakuchapaAaah wapi😂😂😂
Bado sanaaaaa!
😂😂💃Kaone
Wengine tukisha achana imeisha iyo, kukutana tena labda iwe mbinguni au motoni.Kuwekwa ni maamuzi tu, hata walioachana kitambo wanawekana tu.
Nisimulie basi, nitakupa pipi totoo.shindikana nitakuchapa
Ni kweli kabisa, na wapo ambao hawaachani.Wengine tukisha achana imeisha iyo, kukutana tena labda iwe mbinguni au motoni.
Hiyo pipi naitaka shindikanaaaa😁😁😁😁😁😁Nisimulie basi, nitakupa pipi totoo.
Hapana mkuu hii kazi ya ndugu yetu naishika mwenyewe🤣🤣🤣 haiwezekani ateswe mtesi wake wakati nduguze tupoView attachment 3124931
Au ndio hawa ?? 🤣🤣🤣
Una page ya IG au Facebook ? 🤣🤣🤣Hapana mkuu hii kazi ya ndugu yetu naishika mwenyewe🤣🤣🤣 haiwezekani ateswe mtesi wake wakati nduguze tupo
Umri wa mtu unajua kwa kuangalia timeline ya Jf duhAsa kwanini unataka nikuamini wewe!??
Timeline ya JF inakataa .
Haiwezekani ujiunge hapa 2010 uwe below 35+..
Yani hiyo ni natural placement. Hutaki baki hivyo hivyo...
Wa 2006 mpaka na 9 hao ndo kabisa 43+.
It's natural placement kutokana na mabadiliko ya kitekinolojia na population gani kwa wakati gani had the access to cyber world.
Leo hawaamini km mad ndo anaelia namna hii mzee wa vyuma vikali member wa kataa ndoa kajua kuwatia aibu walahiSasa ndio tunaelewa zile hasira na kuchanganyikiwa huwa zinatoka wapi😂😂😂
Kachomoa betri😂😂😂Leo hawaamini km mad ndo anaelia namna hii mzee wa vyuma vikali member wa kataa ndoa kajua kuwatia aibu walahi