Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Yaan ndani ya miezi 2 yeye ashapata bwana na kaolewa kwa Ndoa?
Duuuh Dada ana bahati na nyota yake mjini!!! Sasa wee Brooh, miaka 4 unamchezea mdada wa watu? Wee huogopiii?
Poleee sana kwa kuachwaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Msichana kapunish to the maxmum kulaleki hadi akili zimekusogea, hataki ujinga.

Siku nyingine usije kuridia kununia msichana, wanawake hawanuniwi.

Yakupasa uyakubali matokeo pamoja na maamuzi yake.

Pole sana mkuu, umechezea shilingi chooni na sasa imetumbukia wabakia kuwaya waya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…