raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
HahahahaaaaaaaAaah Advanced ?
Jamaa alikuwaga boss wetu O level ananunua mihogo ya 2000 na kipindi hicho mhogo ni sh 10 tu. Au sisi wa Hostel alikuwa anatununulia birika zima la kahawa na sinia lote la kashata. 🤣
Jamaa shule kaamia A level mimi nikiwa O level