Pa-Paa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 916
- 1,363
Nilikua Plan A wa maisha kwa bintX karbu muongo mzima ila Plan B akaja kunipika dakika za jioni kabisa kisa kanizid urefu na uweusi, Hivi sasa tunavyozungumza binti yule ni Ex wife wa wanaume kadhaa walio hai huku mimi nikidunda tu na Watoto wabichi wa 2001-2006.
Wanawake wanacheza Poka sana umri huu, changa/ficha/cheza vizuri karata/kete zako.
Wanawake wanacheza Poka sana umri huu, changa/ficha/cheza vizuri karata/kete zako.