pesakilakitu
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 1,618
- 2,861
Usiwekeze kwa mwanamke, wekeza kwenye future yako.Nachokiona mkuu,
Kiufupi upo 30's ambao ni umri wa kuwekeza katika mahusiano ya muda mrefu. Kwa hiyo ulimuona huyo kama ni mkeo kwa sababu hutaki kuhangaika tena..
Ndio maana Unajiuliza amekuacha, unaanzaje tena kutengeneza mahusiano strong ambayo utakuwa sure nayo kuingia katika ndoa. Unaona unachelewa zaidi
Lakini kikubwa ulimuamini kupitiliza kiasi alipanga mikakati yote pasipo wewe kuzidaka red flags za mapema. Na huo upendo na uaminifu wa kupitiliza ndio unakuumiza kupitiliza kwa sababu ulifanywa mjinga kirahisi na binti uliyemzidi almost ten years..
Ila mkuu jaribu tu kuwaelewa wanawake especially wa umri huo ambao huwa katika race ya kupata ndoa za mapema ili kuepuka kuja kuchekwa at 30's kwa kukosa ndoa. Akili zao huwa na mapepe ya kunusa fursa na sio uwekezaji unaouna.
Najua kwa sasa unaumia sana kiasi cha kutaka kumuumiza ili upate ahueni lakini amini haitokusaidia kitu na mbaya zaidi unaweza ishi na guilty ya kuharibu maisha yake especially kama atajidhuru. Mkuu kaza moyo maana maumivu hayadumu, baada ya muda yataapoa.. Focus on your next moves kaka and pole sana
He'll never find the same person twice; not even in the same person. He better move on. Lightning never strikes the same place twice.Tatizo la wanaume wengi ni scarcity mindset kwamba nikimpoteza huyu itakuwaje.
Hii inawatesa sana wanaume wengi kiasi kwamba wanapuuzia red flags na kufanya maisha na wanawake wa hovyo
Remember an ex is an ex for a reason, whatever happened before it will happen again
Utazoea mwanzo mgumu. Usipanick, usikurupuke kuoa ili kurudisha mapigo
Wanawake wapo wengi sana imagine kuna wanawake bilioni 4 duniani. Hebu jiulize; Yeye ni nani kati ya hao?
She ain't special at all, kill your scarcity mindset or else it will ruin you
Learn or perish
Fungu sahihi ni lipi? Iv wale walio oana na baada ya miaka 10- 20 wakaachanaPole Sana mkuu hakuwa fungu lako
Na wale wa kwenye ndoa wakinuuiana ina maana wamekutana sio watu sahihi?Ukipitisha siku 3 hujaongea na mwanamke, huyo sio mwanamke wako
MBONA KAMCHEZO KAMEKUGUSA HIVIUnawapata wanuka mavi wenzio firaneni ikibidi mjipake kabisa
Namaanisha sio mwanamke wako tena, kasha move on kwa mwanaume mwingineNa wale wa kwenye ndoa wakinuuiana ina maana wamekutana sio watu sahihi?
Dunia sinia Kaka suspect anyone trust no bodyAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Kamekugusa wewe mfirwajiMBONA KAMCHEZO KAMEKUGUSA HIVI
Ndo mkome kutishia tishia kujamb*Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Ndio maana katika maisha yangu, nimekuwa mtu wa maesabu sana, hata mke namzalisha mitoto ya kiumee tuuuu, kutokana na mishe zangu za kusoma misomo ya afya. Wanawake watu wapuuuzi sana, sio wa kuwategemea katika vitu vya kimaendeleo. Wao wamekuja kama nyoka katika bustani ya hedeni.Me katika maisha yangu ya mahusiano nikishaona kuwa me na gal wangu tuna gombana Sana kila wakati hapo tayari akili yangu inakuwa na red flag sisubiri kuambiwa kuwa kuna mtu ana mzuzua
Taratibu huwa Nina Anza kujiondoa ktk himaya yake mapema ili huko mbele isije kuwa Shida kubwa
Feel sorry
He'll never find the same person twice; not even in the same person. He better move on. Lightning never strikes the same place twice.
Una kadi yake ya clinic?????Si kweli..
Na uongo huu huenda ndo umekugharimu.
Ndio maana katika maisha yangu, nimekuwa mtu wa maesabu sana, hata mke namzalisha mitoto ya kiumee tuuuu, kutokana na mishe zangu za kusoma misomo ya afya. Wanawake watu wapuuuzi sana, sio wa kuwategemea katika vitu vya kimaendeleo. Wao wamekuja kama nyoka katika bustani ya hedeni.
Alaaniwe Mwanawake wa kwanza ndio chanzo cha haya yoteWanawake wapuuzi lkn umeoa tena mwanamke huyo huyo anaetoka kwenye kundi la wapuuzi [emoji2][emoji2] dunia haijawahi isha maajabu.
Alisema Mtume Paulo.Ndoa ni mafarakano, machafuko.
Hata Wema bado ni below 30.. so sishangai..Hizi hesabu zako za kihasibu kama za OKW BOBAN SUNZU nazipinga, first time naijua jf ilikuwa 2009, rasmi nilijunga jf 2011 na hadi sasa nipo bellow 30. Na hapo niliijua jf kupitia primary classmate ambae hatujapishana umri, miaka hiyo alikuwa na blackberry aliletewa kutoka amerika, kila nikiishika nakuta yupo jf na ndio ukawa mwanzo wa mimi kuvutiwa na kutaka kuijua jf.
Kwa namna hiyo inawezekana mleta bandiko ni miongoni mwa members waliojiunga jf wakiwa wadogo kiumri.