Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Aliniumiza sanaa.
Yaaani ametoa mahari juu kwa juu...kisa alikuwa karibu na familia ya binti..

Kibaya zaidi baba binti alikuwa mgonjwa anamwambia mwanangu oleqa ka la sijafa.

Sasa siku ya sendoff nikatambulishwa kwa meja kama....🤣

Meja sasa akamwambia binti kuwa mbona G mshikabi wa maana sana.....kuanzia hapo Meja na mimi, mimi na meja
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Meja amepoa
 
Nimepata new vocabulary..

Simp (/sɪmp/) is an internet slang term describing someone who shows excessive sympathy and attention toward another person, typically to someone who does not reciprocate the same feelings, in pursuit of affection or a sexual relationship.

Mzee umemmaliza kabisa aache kua SIMP😊
LEARN OR PERISH
 
Am loosing it.

Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.

Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.

Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.

Am fu<king loosing it.
Huyo bado anakupenda jiulize kwanini katunza namba yako?
 
Back
Top Bottom