Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Ajue wapi, akinyimwa na kususwa anakuja kushtaki kwa mshenga🤣😁😁😁😁😁😁😁 Meja anajua kuwa ulilamba kitu yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ajue wapi, akinyimwa na kususwa anakuja kushtaki kwa mshenga🤣😁😁😁😁😁😁😁 Meja anajua kuwa ulilamba kitu yake
Miaka 30 kashakuwa used alafu ndio uje uliweke ndani( ndoa) thubutu.Mkuu wenye maadili bado wapo wengi, lakini wakishaanza kuwa huru maisha ya chuo ndio huwabadilisha na kuwa wajinga wajinga. Kuna binti fulani ni mtoto wa Judge nilikuwa natoka nae sasa nikaja zinguana naye mpaka mawaailiano yakakata na namba yake akabadili nimekaa zangu ile namba aliokua anaitumia nikaamua ku i renew kwa sababu ilikuwa ni yangu nikaiweka kwenye simu siku moja kanipigia tukaongea fresh na hasira zake zote zilikuwa zimeisha, nikawa namchombeza na akawa amelainika kweli. Kwa kifupi alikuwa ni mtoto wa Kishua japo alikuwa na jeuri za kitoto lakini kipindi hiki kalainika sana sijui kwa sababu umri umeshaanza kusogea sana ?
Hataki mahusiano ya kimapenzi ila anataka urafiki tu. Nikamwambia urafiki wa nini tena ? Una Mtoto au una mume ? Vyote hana. Na alichonishangaza kuna waist chain nilimnunulia bado anayo.
Kwa kifupi Mabinti kwenye 20's huwa wanakuwaga hawajitambui na hawajielewi kabisa 🤣🤣🤣
Lakini wakifika 30 ndio akili huwa zinaanza kuwakaa sawa aisee.
Mkuu we acha tu naona huruma sana aisee 🤣🤣 🤣Miaka 30 kashakuwa used alafu ndio uje uliweke ndani( ndoa) thubutu.
Ivi wewe ni Dume au Jike?Kweli tunatofautiana sana. HILI NALO MKALITAZAME.
Yaani mimi na Komwe langu hili eti nimekaa kabisa namlilia mtoto wa mtu, eti hata kula nashindwa jamani nalia hadi KWIKWI, khaaaa WE HUOGOPII!
Kwa jinsi Mungu alivyonibariki sitarajii kutoa chozi kwa ajili ya kichogo yoyote.
Anayetaka kukaa na mimi akae, asiyetaka akwende zake. Tena aondoke haraka kabla hajachelewa. HATA AWE NANI, SIANGALII SURA, WE HUOGOPI?
Cc: Lamomy Kapeace mshamba_hachekwi Extrovert
Mademu wazuri wapo kibaoo Mzee...tena sio hao wa miaka 30 washakuwa usedAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Hii maisha sio fair.Ajue wapi, akinyimwa na kususwa anakuja kushtaki kwa mshenga🤣
Pole sana mkuu mimi yalinikuta ila tu nilikua sipensi kipindi hiko maana moyo ulishashakataga kama huko nyuma nilimpenda manzi mmoja hivi aliwkwa status kwa mshikaji wangu basi nikaomba namba jamaa akanambia ngoja niongee na muhusika aloo muhusika hakukataa mi sikuchelewesha nikatongoza nika kataliwa ila sikukata tamaa nikawa natongoza kila siku na kila napoongea nae ilichukua miezi miwili nikaja kukubaliwa akanambia yeye bikra sikuamini nikawa namuambia unazingua wewe imesnda siku nikamvuta geto kuna ishu ya computer nimsaidie akaja nimsove ishu yake nikataka kula tunda nimeregeza navoweza nile tunda lakini akakaza akasema anaogopa yeye ni bira nikamuambie nataka kuhakikisha kama ni bikra akakubali kwa sharti nisimuingilie ebwana eenh nikapekenyua kipochi manyoya mtoto bikra kweli kitu kimewamba nikasimamia ahadi akapika tukala akasepa.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Ungechangamka ungemdinya Teacher ulifeli wapi, wanakuaga wanyama kinyama umri huo ni unasusiwa hovyo hovyo.Hahahahahaaa umenikumbusha mbali sana, matoto ya siku hizi yamekomaa kimapenzi mbaya kabisa si wa kike Wala wa kiume.... Miaka ya nyuma enzi za Jk nimesoma zangu education baade nikapangwa kazi mkoa x, Sasa Mimi kiasili nina km Ile u-gangstar flan hip-hop hv so nikawa na ushakaji na madogo but wananiogopa flan kutokana na ununda.... Hata wale watoto wa kike nilikua na ushikaji nao but kinamna flani but wananigwaya... Kipindi hicho mtandao maarufu ni Facebook zaidi ingawa nilikua naingia mara Moja Moja, Kuna siku Moja nimeingia Facebook Kuna mtu kani-inbox jina nickname la ajabu ajabu halafu hakuna hata picha yoyote,kichwan kwangu nikajua ni msela flan kumbe ni mwanafunz wangu wa kike... Akaandika
Yeye: vp lakini mzima ww!
Mimi: mi niko poa! Vp ww!
Yeye: mi mzima, Sasa vp mbona unanikalia kimya?
Mimi: mi nipo sana msela angu, mishe vp lakin
Yeye: mbona unaniita msela wakati mi mdada
Mimi: oh sorry, sikujua kumbe we ni mdada. Kwan we Nan na uko wapi?
HAKUJIBU MESEJI YANGU, BAADAE NIKA-DELETE CONVERSATION... NIMEKUJA KUINGIA FACEBOOK BAADA YA MIEZI MITATU NIMEKUTA MESEJI YAKE INBOX LAKINI SIMKUMBUKI KM NI YEYE COZ NILISHADELETE CONVERSATION... SO MESEJI ZIKAWA ZINACHELEWA KUJIBIWA SABABU NILIKUA SIINGII FACEBOOK MARA KWA MARA. AKAANDIKA
Yeye: sasa vp mbona unaendelea kukaa kimya jamani!!
Mimi: sijakaa kimya kamanda angu Kwan vp( kipndi hicho neno kamanda limeshika hatamu enzi za chadema)
Yeye: sasa unaniita mi kamanda wakat mi ni msichana... Niambie bas jaman
Mimi: nikuambie kitu gan mi sikujui
Yeye: Unanijua sana wewe unakaaga kimya.....
Hiyo account nilichat nae mwaka mzima sijui ni nani maana hakuna picha hata Moja.... Baadae nilikuja kumjua baada ya kumaliza shule na akaanza kuweka picha kwenye hiyo account yake..... Hawa watoto wa shule Wana mambo sana walimu Wana kaz
Aliniumiza sanaa.Hii maisha sio fair.
🤣🤣🤣Huu uzi umejaa laana zote, mtuhurumie jamani.Huu
Huu wimbo niliusikiliza Mara ishirini na moja baada ya kutemwa na mke wangu wa zamani ,ukanitoa machozi nilienda kulilia chooni ,hapo rafiki zangu wapo sebleni kunifariji .
Nililia Sana kwa kujibana mdomo nilipomaliza nikanawa nikatoka nikawaambia Sasa nipo sawa twende tukaenjoy ,ni huko bar nikikutana na Halima jioni ile aliyekuja kunipa dili lililoniweka jela mwaka mzima .
Itoshe kusema wanawake ni mashetani Sana
Mapenzi hayana ukubwa wala jasiri...We mtu mkubwa sana hapa JF... umekuaje mtoto ghafla!??
Hahahahaaa mkuu ni ww tu kudinya au kuacha na hyo ni scenario Moja tu wanajilengesha mbaya..... Ni vimbwanga nikikusimulia utacheka mbaya.Ungechangamka ungemdinya Teacher ulifeli wapi, wanakuaga wanyama kinyama umri huo ni unasusiwa hovyo hovyo.
Me ningewabutua sana hii ndo fulsa naonaga hamuitendei haki🤣Hahahahaaa mkuu ni ww tu kudinya au kuacha na hyo ni scenario Moja tu wanajilengesha mbaya..... Ni vimbwanga nikikusimulia utacheka mbaya.
hiyo haifai, quick fix abakie hivyohivyo ili impotee kirahisi japo demu huyo miezi mitatu itakuwa mengi atamrejeaNjoo hapa 4ways upige bia mpaka saa tisa usiku ukiamka kesho utakua umeshasahau
Nimemsoma ikabidi nimuache bado ana wenge la kuachwa maana makosa ni ya Halima na waliompeleka bar sasa mtoto wa watu anahusikaje?
Hakuzaliwa peke yake wako wengi tena wanao jiheshimuPotezea tu mkuu
Let her go
Wanawake ndivyo walivyo
usimtafute tena, usimuandikie chochote.Nimejibu email, nimesema sorry sikua najua. All the best