Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Chukua.Tupe ubuyu..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua.Tupe ubuyu..
What can I say,Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
😁😁 nitakusimulia tu
😂😂Sawa mkuuusimtende ubaya wa aina yoyote ile, waongo ni wengi.
Hahahahaha ni kwereMe ningewabutua sana hii ndo fulsa naonaga hamuitendei haki🤣
Pole Sana mkuu hakuwa fungu lakoAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Mlikua wawiliAlikua chuo, kamaliza tu chuo ndio imetokea hivo, ata graduu bado ni November,
Polee sana kakaAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Mapenzi hayana mbabeNamsomaga mad najua anaakili, lakini haya mawazo sijui kayatoa wapi. Sasa kama ameumia sana kwanini aliruhusu ugomvi uchukue muda mrefu naa mwanamke wake. Au Alijiaminisha zile picha zake zitakua zinamblack mail Asiende popote.
Atume tu hizo picha kama anahis atapona
Una miaka mingap? We hujajua t wanawake akishapata mwanaume mwingine anaempenda anakutaftia sababu mgombane, mkaushiane au umuache ili aende kwa mwingine.Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Njoo inbox mwaya kaka AnguNo, siwezi mfanyia mtu ivo.
Mwache afurahie maisha na mpenzi wakeAm loosing it.