Hii ni kweli, haya mambo yakikufuma katika age ya kujenga future unaeza anguka mazima na usinyanyuke kamwe ni muhim kumalizana nayo mapema wakati ambao unakula na kulala bure ukihudumiwa tu na masomo bado ikiwa nyepesinyepesi kwanza unaogopa ukijinyoja usife utachezea bakora na kufukuzwa nyumbani.🤣
Hahahahahaaa umenikumbusha mbali sana, matoto ya siku hizi yamekomaa kimapenzi mbaya kabisa si wa kike Wala wa kiume.... Miaka ya nyuma enzi za Jk nimesoma zangu education baade nikapangwa kazi mkoa x, Sasa Mimi kiasili nina km Ile u-gangstar flan hip-hop hv so nikawa na ushakaji na madogo but wananiogopa flan kutokana na ununda.... Hata wale watoto wa kike nilikua na ushikaji nao but kinamna flani but wananigwaya... Kipindi hicho mtandao maarufu ni Facebook zaidi ingawa nilikua naingia mara Moja Moja, Kuna siku Moja nimeingia Facebook Kuna mtu kani-inbox jina nickname la ajabu ajabu halafu hakuna hata picha yoyote,kichwan kwangu nikajua ni msela flan kumbe ni mwanafunz wangu wa kike... Akaandika
Yeye: vp lakini mzima ww!
Mimi: mi niko poa! Vp ww!
Yeye: mi mzima, Sasa vp mbona unanikalia kimya?
Mimi: mi nipo sana msela angu, mishe vp lakin
Yeye: mbona unaniita msela wakati mi mdada
Mimi: oh sorry, sikujua kumbe we ni mdada. Kwan we Nan na uko wapi?
HAKUJIBU MESEJI YANGU, BAADAE NIKA-DELETE CONVERSATION... NIMEKUJA KUINGIA FACEBOOK BAADA YA MIEZI MITATU NIMEKUTA MESEJI YAKE INBOX LAKINI SIMKUMBUKI KM NI YEYE COZ NILISHADELETE CONVERSATION... SO MESEJI ZIKAWA ZINACHELEWA KUJIBIWA SABABU NILIKUA SIINGII FACEBOOK MARA KWA MARA. AKAANDIKA
Yeye: sasa vp mbona unaendelea kukaa kimya jamani!!
Mimi: sijakaa kimya kamanda angu Kwan vp( kipndi hicho neno kamanda limeshika hatamu enzi za chadema)
Yeye: sasa unaniita mi kamanda wakat mi ni msichana... Niambie bas jaman
Mimi: nikuambie kitu gan mi sikujui
Yeye: Unanijua sana wewe unakaaga kimya.....
Hiyo account nilichat nae mwaka mzima sijui ni nani maana hakuna picha hata Moja.... Baadae nilikuja kumjua baada ya kumaliza shule na akaanza kuweka picha kwenye hiyo account yake..... Hawa watoto wa shule Wana mambo sana walimu Wana kaz