DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Siwez kuleta utani kwny mambo seriousNaamini hii comment umeandika kwa utani. Ila kama upo serious utakua na shida mahali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siwez kuleta utani kwny mambo seriousNaamini hii comment umeandika kwa utani. Ila kama upo serious utakua na shida mahali.
Mfariji mkuu mwenzetu katika kipindi hiki kigumu kwakeNi mimi ndio. Huyu ni kataa ndoa kwa hiyo ni sawa huyo mwanamke kuolewa kwingine.
Achana na hiyo kujiuliza kwa nini, itakuumiza tuu.Au nipotezee tu? Ila kwann kafanya ivi
usimtende ubaya wa aina yoyote ile, waongo ni wengi.😂😂Kijana litamkuta jambo,badala ya "kula mbivu" nitajikuta ninakula zilizooza.
😍Thank you for appreciating
Muache mhanga😂 Jamani sasa mimi nimekosa nini?
Ushauri wangu ni mmoja tu, awaye yeyote yule asiwekeze sana kwenye mapenzi.Depression toa ushauri😂
na mi nimemwambia hivyo hivyo.Woi, mpe miezi 8 ataanza kuomba faraja kwako, jifanye kama umekubali matokeo..
Kuna Meja flani wa jeshi alinichezea rafu kama hiyo...haha, siku hizi nachekea uani kama sio chooni🤣🤣🤣
Akubali tu yaishe. Mana hata bidada angebaki asingeolewa nae na tusipoolewa ndio nyie nyie mnakuja kututukana.Mfariji mkuu mwenzetu katika kipindi hiki kigumu kwake
sie wangapi?Akubali tu yaishe. Mana hata bidada angebaki asingeolewa nae na tusipoolewa ndio nyie nyie mnakuja kututukana.
Sijamfanya chochote mbona.Muache mhanga
Sijui idadi.sie wangapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Meja amepoaAliniumiza sanaa.
Yaaani ametoa mahari juu kwa juu...kisa alikuwa karibu na familia ya binti..
Kibaya zaidi baba binti alikuwa mgonjwa anamwambia mwanangu oleqa ka la sijafa.
Sasa siku ya sendoff nikatambulishwa kwa meja kama....🤣
Meja sasa akamwambia binti kuwa mbona G mshikabi wa maana sana.....kuanzia hapo Meja na mimi, mimi na meja
LEARN OR PERISHNimepata new vocabulary..
Simp (/sɪmp/) is an internet slang term describing someone who shows excessive sympathy and attention toward another person, typically to someone who does not reciprocate the same feelings, in pursuit of affection or a sexual relationship.
Mzee umemmaliza kabisa aache kua SIMP😊
Huyo bado anakupenda jiulize kwanini katunza namba yako?Am loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Makosa yake mwenyewe kukubali madili ya bar, sasa laana tunapewa wanawake wote🤣🤣🤣Nimemsoma ikabidi nimuache bado ana wenge la kuachwa maana makosa ni ya Halima na waliompeleka bar sasa mtoto wa watu anahusikaje?
Tupe ubuyu..Makosa yake mwenyewe kukubali madili ya bar, sasa laana tunapewa wanawake wote🤣🤣🤣