Mpenzi wangu wa tangu 2020 kaolewa, kaniambia heshima itawale. I didn’t see this coming!

Huna akili
 
Ugomvi wa mwezi wa nane haukuja kwa bahati mbaya. Haukusoma majira tu na kama ulishindwa hilo haukumuelewa mwenzako, hatandani angekutesa. Kama una mwanamke wa ndoto zako usikorofishane nae kama ni wa kupita ukiingia kwenye mahusiano nae hakikisha unajua njia na wakati utakaoachana nae. Usimnunie unayempenda moyo ni kichaka.
 
Potezea tu.... Time will heal.

Ila kama huyo mwanamke hana hulka ya umapepe itakua tu kuna namna ulianza kumzingua kwahiyo akaanza kuachilia mdogo mdogo.

Wanawake wengi uhusiano ukifika 2+ years huwa tunakua tumefungua moyo tayari so mpaka nikuache it's a struggle na inabidi uwe umezingua pakubwa au huna uelekeo wa long term relationship kabisa

So move on, men wanaoa hata 40 huko, don't be bitter ishi tu kawaida, aliye wako atakukuta along the way.
 
Kwa kweli 📌 🤣
 
Tell him bro, loud ili imuingie kwa akili
 
To be honestly when it comes to furaha wanawake wako so aggresive kujijali wao. So udhingae baada ya kupata alichotaka she wente away
But i hope some umelipata, litakusaidia sana one the future
 
Pole sana mkuu. Amini kila kinachotokea kina sababu njema tu nyuma yake.
Jipe muda upate uponyaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…