Pole mkuu, nshapita hayo naelewa unachopitia. Mwezi wa pili tare 6 napiga machine siku ya ijumapil 2022 siku ya ijumatano tare 9 mwezi wa 2 mwaka huo huo natumiwa msg kua anaolewa, kweli baada ya miezi miwili niliishia kuona picha za harusi mitandaon kwa madem wenzake wakimpost.
Tulikaa kwenye mahusiano miaka 5, na nilikua na lengo la kumuoa kabisa.
Madem wengi ni wasengee hawajali kiasi gani uliwekeza kwao wao wanaangalia furaha zao tu tena za muda mfupi. Baada ya hapo niliamua kujipenda na kujipa kipaumbele mm tu nasio kumpenda kima yeyote Tena.