Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Mpotezee kiume mkuu, pole sana.Nifanyeje, nilete uswahili au? Nina picha zake mbaya sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpotezee kiume mkuu, pole sana.Nifanyeje, nilete uswahili au? Nina picha zake mbaya sana
Pole sana mkuuGanga yajayo Mkuu inauma sana, Kuna Binti nilijuana naye toka mwaka 2009 na tulikutana sehemu tofauti na tukajikuta tumetengeneza upendo kabisa. Upendo usio kuwa na chembe ya uoga. Na yeye alikuwa wa kwanza kunipeleka kwao na alikuwa anafosi sana niende. Aisee nilioneshwa heshima ya juu na Binti aliandaa chakula cha asili yetu Wanyantuzu, Makande yale magumu kama ugali. Mlenda na ugali wa dona na Mziwa wa Mtindi. Nikala na Mshua wake mezani, Aisee ile moment imechukua muda mrefu kunitoka. Cha kushangaza alipata kazi mkoa tofauti eeh na mawasiliano yakawa mabovu mara hapokei, mara anajibu kikauzu sana. Heeeh Mwaka 2022 Nov naona kwenye status yake Ameshakuwa Mrs Somebody. Wanawake wana mipango zaidi ya milion kichwani
Hawaondoki kizembe lazima akuoneshee taa nyekundu..kazi ni kwako sasaMe katika maisha yangu ya mahusiano nikishaona kuwa me na gal wangu tuna gombana Sana kila wakati hapo tayari akili yangu inakuwa na red flag sisubiri kuambiwa kuwa kuna mtu ana mzuzua
Taratibu huwa Nina Anza kujiondoa ktk himaya yake mapema ili huko mbele isije kuwa Shida kubwa
Feel sorry
Mkuu maumivu ndio huwa yanaleta uzoefu wenye furaha ya kudumu. Hawa viumbe ni hatari sana. Shukran Mkuu 🙏Pole sana mkuu
Depression punguza maswali.Kwahiyo uliuchuna ukijua huko anakuwaza😂
Pole maya.
Kati ya kumi, wa2.Mkuu kuna mambo mengine yaache tu, mimi nimeijua JF nikiwa 15 kipindi ambacho Internet haijakuwa kwa hivi ambavyo ilivyo leo, kuna mambo nilikuwa nagoogle na ikawa inanletea majibu mbalimbali kutoka JF.
2011 nikajiunga rasmi JF ila nilikuwa msomaji zaidi jukwaa la Tech na Sports. Kuna wengine ktk udogo wetu tulikuwa na access na mambo ya internet kutokana na familia tulizolelewa.
Nikiwa standard 5 miaka hiyo nilipelekwa Computer Course. Mpaka naandika comment hii nipo below 32.
Vipi wale wanawake wanaolewa na matajiri kabisa lakini wanatoka huko kwa waume zao wanaenda kuolewa tena na mabodaboda?Mwanamke muda wake upo limited and calculated.
Hivyo wakati we unampa ahadi za kumuoa , anaweza kutokea MTU siku hiyo akatoa mahari na kumvisha Pete na kumuoa.
So usiwe too judgmental Kuwa kwanini umeachwa .
Hapo ni jufanya detachment na kushukuru .
Na Kama ulikuwa unampenda kweli hauwezi kusikia maumivu yoyote .
Maana MTU anayempenda lazima pia utapenda kuona na mafanikio yake.
Wewe haukufanikiwa kumuoa Ila wengine wamemuoa so nikumtakia ndoa njema .
Huo wivu unatokana na ile hali ya ubinafsi ya kujimilikisha MTU kitu ambacho sio sahihi.
Hawa viumbe ni hatari mno hasa kwenye mahusiano.Mkuu maumivu ndio huwa yanaleta uzoefu wenye furaha ya kudumu. Hawa viumbe ni hatari sana. Shukran Mkuu 🙏
Slow down please kapeace 😅Bado hujapigwa vizuri, mad max umemsoma lakini? Unafikiri ndo demu wake wa kwanza kumuacha, namsomaga km hanaga fujo sana lakini amefikia kuwaza hata kuanika picha zake mbaya ujue mwamba UMEPATWA
Kuna neno moja linasema "waachie wafu wakazike wafu wenzao" jijali tu nafsi yako mkuu penzi ni living thing isiyo onekana na sifa za kiumbe ni Tatu 1.kuzaliwa 2.Kukua 3.KUfa, Tuishi humo mkuuAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Kuna neno moja linasema "waachie wafu wakazike wafu wenzao" jijali tu nafsi yako mkuu penzi ni living thing isiyo onekana na sifa za kiumbe ni Tatu 1.kuzaliwa 2.Kukua 3.KUfa, Tuish humo mkuuAm loosing it.
Nilikua na mpenzi wangu, H, tumejuana tokea 2020. Tumepitia mengi ups and down.
Mwezi wa nane tumekua na serious ugomvi, ukapelekea tukaushiane na muda mrefu sana.
Leo kiutani mtu kanitumia screenshot yake. Anaolewa. Nakutana na yeye kanitumia email she’s now Mrs D. Kaniambia heshima itawale.
Am fu<king loosing it.
Usimfanyie hivyo mwamba, kila la heri kwenu. Yenu ni perfect comboGwele chelewa chelewa ,shauri zako😄
Bro amenikata moto huyu kiumbe. Yaani sahivi ndio nimeanza kula ila dahNgoja kwanza, kwani kiongozi wewe sio KATAA NDOA Mkuu? Mad Max ila maajabu ya wanawake ukimpotezea kabisa ipo siku atakutafuta na kukulaumu humtaguti, atasema ulikuwa humpendi.
wanawake vichwa vyao wanavijua wenyewe tu.
Ukiweza kulihimili hili hakuna gumu litakalokushinda kwenye mahusiano. Kila la heri japo n ngumu ila itawezekana mkuu.Shukrani kaka, nimefuata ushauri ngoja nifute everything.