Uchaguzi 2020 Mpiga kura ni tofauti na mgombea: Mambo ya kuepuka kwa mpiga kura ili usije ingie matatani siku ya kupiga kura

Uchaguzi 2020 Mpiga kura ni tofauti na mgombea: Mambo ya kuepuka kwa mpiga kura ili usije ingie matatani siku ya kupiga kura

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
1. Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu

2. Kazi ya kujumlisha matokeo ya uchaguzi na kuyatangaza ni kazi ya tume ya uchaguzi tu tena kwenye vituo husika official vya tume.Usije ukakaa guest house au popote na hawara yako mkaanzisha kituo chenu cha kujumlisha matokeo na kuyatangaza kuwa hayo ndio matokeo .Ujumlishaji na utangazaji ni kazi ya tume tu kuanzia mwanzo wa kuzijumlisha hadi mwisho wa kutangaza.Kwenye ofisi zao official ikiwemo kituo cha kupigia kura nk

Mtu yeyote awe mgombea au mpiga kura ,taasisi yeyote au au chama chochote cha siasa au chombo cha habari hakiruhusiwi kutangaza matokeo ambayo tume haijatangaza na kutoa ruksa yatangazwe.Usiende huko na huko ukitangaza matokeo ambayo Tume haijatangaza.

3. Ukipiga kura ondoka nenda zako nyumbani au kwenye biashara zako .Siku hiyo mikusanyiko ya aina yeyote hairuhusiwi popote kwa umbali wowote uwe mfupi au mrefu kiasi gani hata iwe kilomita elfu moja toka kituo cha kupigia kura hiyo ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakamu kuu uliotolewa mwaka 2015.

Nakala ya katazo la mahakama kuu hili hapa

1603338756065.png

1603339194892.png

1603339284078.png
 
Pia usiende na silaha kituo cha kupigia kura
 
Pia hutakiwi kwenda na ubwabwa sehemu yoyote ya kituo cha kupigia kura
 
Pia usiende na silaha kituo cha kupigia kura

Kuna wengine Miili yetu yenyewe ni zaidi ya Silaha dhidi ya Askari unao waamini Mkuu.Tupo nao Mtaani ktk Maisha yetu ya kila Siku na tuna wajua ,acheni matisho mna kera wengine kwa Sheria kandamizi mnazo tunga kwenye Bunge la CCM kwa maslahi ya CCM.
 
kwa hiyo unajibizana na komputa?

Mshamba kama yule aliyeenda TIGO akasema nataka nije nimsalimie yule dada mwenye sauti nzuri ambaye simu ukipiga ikiwa haipatikani huwa anajibu vizuri kuwa samahani mteja unayempia hapatikani kwa sasa!!!

Computer ina ongozwa na Watu .
 
Kwani wewe ni nani kwenye hiyo tume ya ccm. Hayo yote tunayafahamu isipokuwa kusema watu sijui wasijikusanye wala wasikae karibu na vituo kwa nini wasiwasi unakuwa kwa ccm tu kwani hamuwezi kushinda uchaguzi bila kuiba kura???
 
1.Jambo la kwanza usifanye fujo kituo cha kupigia kura au kupiga makelele,kuzozana nk ile ni sehemu ya kupanga msitari na kupiga kura yako kwa amani na utulivu

2.Kazi ya kujumlisha matokeo ya uchaguzi na kuyatangaza ni kazi ya tume ya uchaguzi tu tena kwenye vituo husika official vya tume.Usije ukakaa guest house au popote na hawara yako mkaanzisha kituo chenu cha kujumlisha matokeo na kuyatangaza kuwa hayo ndio matokeo .Ujumlishaji na utangazaji ni kazi ya tume tu kuanzia mwanzo wa kuzijumlisha hadi mwisho wa kutangaza.Kwenye ofisi zao official ikiwemo kituo cha kupigia kura nk

Mtu yeyote awe mgombea au mpiga kura ,taasisi yeyote au au chama chochote cha siasa au chombo cha habari hakiruhusiwi kutangaza matokeo ambayo tume haijatangaza na kutoa ruksa yatangazwe.Usiende huko na huko ukitangaza matokeo ambayo Tume haijatangaza

3.Ukipiga kura ondoka nenda zako nyumbani au kwenye biashara zako .Siku hiyo mikusanyiko ya aina yeyote hairuhusiwi popote kwa umbali wowote uwe mfupi au mrefu kiasi gani hata iwe kilomita elfu moja toka kituo cha kupigia kura hiyo ni kwa mujibu wa uamuzi wa mahakamu kuu uliotolewa mwaka 2015

Nakala ya katazo la mahakama kuu hili hapa

View attachment 1607962
View attachment 1607967

View attachment 1607971
Tukiondoka wote tume watamtangazia nani matokeo?
 
Kuna wengine Miili yetu yenyewe ni zaidi ya Silaha dhidi ya Askari unao waamini Mkuu.Tupo nao Mtaani ktk Maisha yetu ya kila Siku na tuna wajua ,acheni matisho mna kera wengine kwa Sheria kandamizi mnazo tunga kwenye Bunge la CCM kwa maslahi ya CCM.
Mimi nimeeleza tu angalizo mengine ya kwako

Ukijisikia hamu ya kumbusu mamba hayo yako

1603349839598.png
 
Mimi nimeeleza tu angalizo mengine ya kwako

Ukijisikia hamu ya kumbusu mamba hayo yako

View attachment 1608142

Tatizo lako unaamini Mamba wanaishi ktk Mito tu ,sio Depo tu hata Mtaani pana Watu ni zaidi ya Mamba baasi tu wengine ni wastaarabu na hawana hulka za Mbwa vichaa kama walivyo baadhi ya Askar wetu.
 
Tatizo lako unaamini Mamba wanaishi ktk Mito tu ,sio Depo tu hata Mtaani pana Watu ni zaidi ya Mamba baasi tu wengine ni wastaarabu na hawana hulka za Mbwa vichaa kama walivyo baadhi ya Askar wetu.
Wapi huko
 
Msitufokeee tutasubiri kutangaziwa matokeo, sheria ni mita 100. Uoga wenu mtajibeba
 
Kuna wengine Miili yetu yenyewe ni zaidi ya Silaha dhidi ya Askari unao waamini Mkuu.Tupo nao Mtaani ktk Maisha yetu ya kila Siku na tuna wajua ,acheni matisho mna kera wengine kwa Sheria kandamizi mnazo tunga kwenye Bunge la CCM kwa maslahi ya CCM.
Acha mikwara mkuu, nyie tulieni msibane matako dawa iingie mbona hata haiumi.

#JPM_5_TENA
 
Mimi nitaenda na redio huku inapiga ule wimbo wa Bob Marley wa One Love
Chicago_Pride_Parade_1985_033.jpg
 
Msitufokeee tutasubiri kutangaziwa matokeo, sheria ni mita 100. Uoga wenu mtajibeba
hufokewi kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria mahakama kuu ilishatoa tafsiri wewe na nimekuwekea kwenye hilo bandiko sasa wewe kama hukubali hayo yako yakikupata ukipelekwa mahakamani ofcourse tuombe HUJATIWA NGEU na Polisi kwa kukataa kutii sheria bila shuruti mahakama itakukuta na hatia na ngeu yako
 
Back
Top Bottom