Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meza kuu yupo baba wa kambo,kiben 10 cha sandrababa ake anakufa njaa af unampa sifa kama izo...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Baada ya mzee kupewa gari kilichomkuta mnakijua, subiri mtaona kwa waliopokea usafiri.Tena yule Mzeee alishukuru sana. Akasema pamoja na kukaa katika muzik kipindi chake chote ,hakuwahi kfanikiwa kupata usafir
Wacha Mzee aisome namba iwe funzo kwa wenginebaba ake anakufa njaa af unampa sifa kama izo...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Yah kuna umuhimu wa kumzawadia jukwaani maana lilikuwa tukio la kutoa shukrani kwa watu wake sasa kwanini ajifichekuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?😁🤕🙌
Aaaaaah jamaaanBaada ya mzee kupewa gari kilichomkuta mnakijua, subiri mtaona kwa waliopokea usafiri.
Yajayo yanasikitisha.
Big up kwa management ya diamond. Inajua kucheza na akili za mashabikihabari wadau.
nimejifunza kitu kikubwa sana kwa diamond.. ambapo ni kuwa muajiri mzuri..
diamond japo hana elimu kubwa kama waajiri wengi.. ila anajua kuishi na wafanyakazi wake..
ndio maana hata walioacha kazi au kufukuzwa kazi.. bado wanampenda diamond na WCB kwa ujumla mfano kifesi, mwarabu fighter etc
imagine bosi wako anakupa bonus ya gari au hata baiskeli.. raha ya kujaliwa inavyokusukuma ujitume zaidi na zaidi
lukamba atoa machozi baada ya kupewa gari
Inategemea na makubaliano waliyoingia,navyojua Lukamba ameajiriwa na WCB kwahiyo analipwa mshahara kwa mwezi na other benefits kama Perdiem kipindi cha safari.kuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?😁🤕🙌
Muda hausemi uongoAaaaaah jamaaan
Rafiki hata mimi siku utakayonipa chura nitalia!Analia nini kwani hakustahili kupewa si ni haki yake ama
Rafiki chura yangu sikupi ndogo sana utaimalizaRafiki hata mimi siku utakayonipa chura nitalia!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Rafiki chura yangu sikupi ndogo sana utaimaliza
Ukiacha tu mshahara,zile shift za ulaya amerika na afrika kwenye show ni hela ndefu sana mana ni pa diemu,plus kumake hapa na pale,alikuwa na uwezo kabisa wa kupata hata ka Nissan Marc au starlet hata used tu ya M7,any way life is about priorities,simlaumu kwa chochote kile...Inategemea na makubaliano waliyoingia,navyojua Lukamba ameajiriwa na WCB kwahiyo analipwa mshahara kwa mwezi na other benefits kama Perdiem kipindi cha safari.
Let's say kama WCB wanamlipa labda 1.5m kwa mwezi anaweza kweli kununua altezza ya mil 12 kwa mshahara bila kukopa Bank? Je wafanyakazi wa Dr Mengi,Mo,Bakhresa Wote wana magari? Mimi kama mwajiri nakuajiri nakulipa mshahara ambao ndani yake una House allowance,Transport Allowance,Medical Allowance etc Wewe ndio utajua utautumia vipi.
Kwa Mujibu wa maelezo ya Diamond alikuja kustuka kwamba Lukamba anahitaji usafiri binafsi baada ya Kuibiwa Laptop na wezi so yeye kama yeye akajiongeza kumnunulia gari sio mbaya.
Ila kwa mfanyakazi wa kawaida kununua gari kwa mshahara bila mikopo ni ngumu ila kwa wasanii au mtu anayefanya kazi na wasanii inabidi awe na usafiri kutokana na kazi zao nyingi zinafanyika mida ya wanga au wanatoka kazini mida ya wanga.Ukiacha tu mshahara,zile shift za ulaya amerika na afrika kwenye show ni hela ndefu sana mana ni pa diemu,plus kumake hapa na pale,alikuwa na uwezo kabisa wa kupata hata ka Nissan Marc au starlet hata used tu ya M7,any way life is about priorities,simlaumu kwa chochote kile...
Akili ndogo kwenda Ulaya ndio sababu ya kununua gari? na huko vijijini Shitimbi watadai ukienda Dar basi lazima ununue baiskeli,gari kitu gani banaHata mimi nimeshangaa kupita maelezo. Zile trips zote za Ulaya halafu hana gari!!!!!!!!!
kuna kitu nimejiuliza sana,ina maana Lukamba sik zote hakuwa na gar licha ya kufanya kazi na mtu mkubwa Afrika? je ina maana yoyote kumzawadia gari jukwaani km tunavyozawadiwa wafanyakazi bora siku ya Mei Moko? kwa jinsi tukio la jana lilivyoteka umma Ali Kiba na kundi lake walikosea timming ya kurelease ngoma yake hadi imedoda huko youtube au alitaka public sympathy kwamba WCB wameaandaa tukio lile kumzima?[emoji16][emoji856][emoji119]
Kifesi alijenga nyumba Mwanza na Kununua gari akiwa wcb.Mwarabu kadondoka na bajaj wakamzira, sa hii kwenye media stunt wanamsimamisha lukamba hata yule kifesi hajaambulia hata baskeli.
Huyu dogo awekeze saana kivyake akae sawa, hawa wapambe wanaompa akili za kilofa hizi hawa kina babutale na huyu bwege sallam sijui nani yule TMK asome vizuri sana.
Wako pale wanapiga chao kesho hao washatoka baru wanatafuta mwingine wampune.
A
Akili ndogo kwenda Ulaya ndio sababu ya kununua gari? na huko vijijini Shitimbi watadai ukienda Dar basi lazima ununue baiskeli,gari kitu gani bana