Uchaguzi 2020 Mpigakura kuahidi kukipigia kura chama cha siasa kwa kuandika namba ya kitambulisho cha mpiga kura na namba ya simu hii imekaaje?

Najaza ila kura ni uamuzi wangu
Ukienda kupiga kura utakuta tayari ulishapiga,ukibisha.utaambiwa angalia.kidole na utaona wino.mzito ishara ya wewe,kupiga kura na.kuchovya kidole kwenye wino,na utauona.wino kidoleni.kwako,kitakachofuata ni Ku arestiwa kwa kosa la kutaka.kuharibu uchaguzi,kwa kupiga kura Mara mbili....chezea NEC/ZEC weye.!
 
Jaza km kuna pesa chukua maana kura ni uamzi wako wajinga ndiyo waliwao
 
Porojo,tutaamini vipi hiyo karatasi kama hujachapisha wewe kwaajili tu ya kukichafua chama cha mapinduzi,akuna muhuli,akuna saini ya kiongozi?
kwanza kura ni siri ya mtu unapiga kura kwenye kichumba kidogo akuna anaekuona,kwaiyo ondoa mashaka bwashee.
 
Ataweka maisha na ajira za watu.mashakani/hatarini.sana mkuu.Chukulia kama taarifa chokonozi,na mbona.umechangia.vyema tu?!Hakunaga.Uongo.JF.
 
Mkuu Shinyanga moja hiyo! Hapa Manispaa, watumishi wote wamejazishwa fomu! Sijui sheria ya wapi hii? Taarifa hizi zimfikie Kamanda Lissu alikemee hili!
Habari. za Sikh mkuu,vipi.hapo.Shytown ule mchuano.wa Dada na Kaka,kwenye ubunge?!
 
Chama kimejiwekea utaratibu na wanachama wake! Nyie wengine meshapandwa na visebusebu! Si nanyie muandikishe wanachama wenu? Acheni kihoro, tar 28 tunawatwanga mafiga matatu.
Utakuwa CCM asili wewe ..umejibu kwa utulivu na hongera.
 
Mmmmhhhhhhh!
Mashikolo!

Everyday is Saturday.............................. 😎
 
Sio sawa inawalakini ndani yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…