Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitendea kaziView attachment 1598332
Ukienda kupiga kura utakuta tayari ulishapiga,ukibisha.utaambiwa angalia.kidole na utaona wino.mzito ishara ya wewe,kupiga kura na.kuchovya kidole kwenye wino,na utauona.wino kidoleni.kwako,kitakachofuata ni Ku arestiwa kwa kosa la kutaka.kuharibu uchaguzi,kwa kupiga kura Mara mbili....chezea NEC/ZEC weye.!Najaza ila kura ni uamuzi wangu
Ataweka maisha na ajira za watu.mashakani/hatarini.sana mkuu.Chukulia kama taarifa chokonozi,na mbona.umechangia.vyema tu?!Hakunaga.Uongo.JF.Ahaaa !!!! Ni kweli !? Wanajamii forum tunahitaji fomu iliyosainiwa tayari Kama Ushahidi ili mchangiaji aweze kuchangia kitu kilichodhibitishwa !
Nakuomba Sana tutumie fomu iliyosainiwa tayari . Je , wahusika wakiikana fomu hii na wakakuambia fomu hii ni wewe umeibuni na kuitengeneza Stationary , utakataa Ndugu yangu !?
Kuitoa ccm mfanye kazi kweli kweli.
Habari. za Sikh mkuu,vipi.hapo.Shytown ule mchuano.wa Dada na Kaka,kwenye ubunge?!Mkuu Shinyanga moja hiyo! Hapa Manispaa, watumishi wote wamejazishwa fomu! Sijui sheria ya wapi hii? Taarifa hizi zimfikie Kamanda Lissu alikemee hili!
Utakuwa CCM asili wewe ..umejibu kwa utulivu na hongera.Chama kimejiwekea utaratibu na wanachama wake! Nyie wengine meshapandwa na visebusebu! Si nanyie muandikishe wanachama wenu? Acheni kihoro, tar 28 tunawatwanga mafiga matatu.
au sio!!!!!!!
hatutawaacha tarehe 28 ni ushindi wa kishindo cha atomic 89%.
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂😂😛😛😛Hizo ni namba za kadi ya bima ya afya, CCM inafanya uhakiki ili wananchi wasisumbuliwe.
Wala hata usijaze achana nayo kabisa.......Najaza ila kura ni uamuzi wangu
hizi ni faraja kabla ya uchaguzi.Ndiyo tabia zenu View attachment 1598393
Piperange siioni hapo [emoji56]Vitendea kaziView attachment 1598332
Hizo ni namba za kadi ya bima ya afya, CCM inafanya uhakiki ili wananchi wasisumbuliwe.
Sio sawa inawalakini ndani yake.Hivi ni sahihi watu kuahidi kipiga kura kwa kujaza namba zao za vitambulisho na namba ya simu?
Lengo la kufanya hivyo ni nini? Je sheria za uchaguzi zinaruhusu zoezi hili?
Hii inanipa ukakasi, naona kama kuna mlango wa rushwa kupitia fomu hiyo.
Je, Hizo namba za kupigia kura ziko salama kiasi gani? Na je, namba za simu za alie ahidi haziwezi tumika kumtishia mpiga kura kufanya maamuzi ambayo pengine hayakuwa ya kwake kukipigia kura chama chenye fomu hii?
View attachment 1598319
Duh!Vitendea kaziView attachment 1598332