Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Acha nimpe kura yangu, namkubali sana kiba hata asipileta ushindi yeye tayari ni mshindi, .
 
Mkuu acha chuki kuwa mzalendo
Sipendi kutofautiana sana na mawazo yenu! Je mmewahi kujiuliza inakuwaje mtu uwezo wake mdogo lakini anashinda tuzo?
Je kupiga kura mara nyingi uwezavyo ni kipimo sahihi cha kumpata mshindi?
Je kupiga kura kwa niaba ya mwingine bila ruhusa yake ni halali?

Waungwana tubadilike matokeo halali ni kwa kula yako moja tu!
 
Kwa Yale ulofanya kwenye Tuzo za Mtv na Bet! Simpigii kura Kibakuri! Wacha Uzalendo uanzie kwako mwenyewe!!
 
Malaya tu kibakuli hana lolote
Kwani yy ndio wakwanza kuwakilisha taifa?
Kwan domo alikua anawakilisha kabila??
Mamaae na alibeba kibishi sura zikawafubaa
 
duuh hii ni zamu ya kiba,ila mond tuzo hizo alishachukuaga
 
Nishapiga kura..!
Olamide 4 [HASHTAG]#Mtvema[/HASHTAG]
Bado Sneh...

 
Hivi unaweza uka wapigia kura wote!!?
Naombeni nijue maana nataka nitende haki hapa
 
Daaah
Huyu jamaa kumbe ndo alivo [emoji1]

Akichukua Kiba ataleta fujo sana huyu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…