Mpigie kura Alikiba hapa katika tuzo za MTVEMA

Mkuu ndiomana nimesema kuwa, sasa uteam tuweke pembeni, tuangalie taifa letu sasa, Tuwapende wasanii wetu wote bila kubagua
 
Mnatumia browser gani kuvote??
UC mini inakataa nimerudia mara 5 sasa
Nahitaji kumpigia kura Ali Kiba ushindi uje nyumbani

Mkuu download browser inaitwa "Puffin" ni nzuri sana kwa kuvote
 
Ndugu zangu Diamond na Alikiba ni watoto wetu, Tuacheni kubagua, Kwa sasa tumpigie kura Alikiba, safar nyingibe inshalaah tutampa Diamond platinumz simba akija kuingia kwenye tuzo zozote huko mbeleni
 
Poa mkuu ngoja nifanye hivyo
Mm nikiskia mtanzania yoyote anahitaji kura basi dakika 3 pia naona nachelewa. Na ushindi ukikosekana naumia sana utadhani tumezaliwa tumbo moja
 
umeguñdua leo! ungekuwa serious ungeomba radhi kwa kile ulichofanya siku zilizopita!!
 
Ndugu zangu Diamond na Alikiba ni watoto wetu, Tuacheni kubagua, Kwa sasa tumpigie kura Alikiba, safar nyingibe inshalaah tutampa Diamond platinumz simba akija kuingia kwenye tuzo zozote huko mbeleni
ingawa kura yangu nampa
 
Acha uchochezi mkuu, Diamond na Alikiba wote ni vijana wetu, tunapofika kwenye suala la utaifa tuweke itikadi za uteam pembeni.
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23] mkuki kwa nguruwe akiwa nominated diamond kipindi kile mli vote for wizkid saivi kawa nominated yeye eti wote watanzania kwa hiyo kipindi kile mond alikua mu Afghanistan "muoshwa huoshwa" over
 
Poa mkuu ngoja nifanye hivyo
Mm nikiskia mtanzania yoyote anahitaji kura basi dakika 3 pia naona nachelewa. Na ushindi ukikosekana naumia sana utadhani tumezaliwa tumbo moja

Mkuu safi sana, Vote mara nyingi uwezavyo
 
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23] mkuki kwa nguruwe akiwa nominated diamond kipindi kile mli vote for wizkid saivi kawa nominated yeye eti wote watanzania kwa hiyo kipindi kile mond alikua mu Afghanistan "muoshwa huoshwa" over

Mkuu yalopita si ndwele,
 
Done.
 
Wastage of time, hafiki popote hata mpige kura mara 100 kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…