MGOGOHALISI
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 4,555
- 6,773
Heshima haijawahi kuwa juu ya pesa kwa baadhi ya watu. Angalieni yule mstaafu anavyohangaika ndio mtajua kuna watu wameamua kutafuta pesa na kuitupilia mbali hiyo heshima.Mtumbuizaji mzuri ni yule anayejua aondoke jukwaani muda gani
Kuna nyakati unahitajika kulinda heshima yako zaidi 🫡
Swali lako la msingi lakini mpaka muda huu sijaona jibu lake.Hao polisi wameenda kumsindikiza au kumzuia?
Muda unazungumzaHeshima haijawahi kuwa juu ya pesa kwa baadhi ya watu. Angalieni yule mstaafu anavyohangaika ndio mtajua kuna watu wameamua kutafuta pesa na kuitupilia mbali hiyo heshima.
NAKAZIAMpina kisesa ilimuhitaji zaidi.
Namna pekee upinzani waliyonayo ni kutumia sheria hizi hizi mbovu kudeal na CCM ikiwa mass support imeshindikana.Daby vipi mkuu una maoni gani!! Nilisema humu uchaguzi wa Tanzania hautegemei influence yako kwa wananchi bali ni huruma tu za aliyepo ikulu.
Ina maana hata JPM akifufuka leo akigombea kupitia ACT unadhani asingekutwa na kilichomkuta Mpina?Namna pekee upinzani waliyonayo ni kutumia sheria hizi hizi mbovu kudeal na CCM ikiwa mass support imeshindikana.
Naelewa zuio ni kwasababu ya pingamizi lilowekwa na baadhi ya wanachama wa ACT.
Je CCM kupitia msajili wame-take advantage ya ubovu wa sheria [answer can be yes or no].
Police wote hao wapo kwa ajili ya MPINA?Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Samia mpinzani wake ni nani sasa
Muda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.