Serikali nyingi nilizoshuhudia hasa Africa zikiangushwa imechangiwa kwa kiasi kikubwa na hamu ya madiliko kwa wananchi walio wengi.[mass support]Ina maana hata JPM akifufuka leo akigombea kupitia ACT unadhani asingekutwa na kilichomkuta Mpina?
Nlisema hapa, chadema kabla hata ya uchaguzi serikali za mitaa 90% ya wagombea wao walikatwa. Sasa hapo unashindaje?
Unfortunately unatoa mfano wa nchi yenye demokrasia. Unadhani Tanzania hii Jacob Zuma angeenda ACT angeruhusiwa kweli kushiriki uchaguzi si wangefufua kesi zake zote za ufisadi!!South Africa ANC ilianza kupoteza mvuto viongozi wakahama wakaanzisha vyama juzi kati wamepata 26%.....
Unapimaje uungwaji mkono wakati uchaguzi sio huru na haki?angalia hoja zinazosimamiwa na baadhi ya watu waliojitokeza hadharani[ regardless of their political reasons/wings] hakuna wa kuwaunga mkono[kwa taifa lenye ml60+]....
Why after 2015? Sababu JPM alitumia mabavu kuua upinzani. Cha ajabu unamsifia kwamba alikua popular upinzanu ukakosa watu!! Unadhani uhuru wa kisiasa 2010-15 ungekuwepo 2015-2025 unadhani CCM ingekua na hali gani?Ukiniuliza kwasasa tupo stage gani nitakuambia ndiyo kwanza tupo stage 1......
Nchi inatia hasira sana, yaani na mabunduki utadhani anayekuja ni Mgombea kutoka Boko Haram!!Mi Naona kama vile police hawafanyi kazi Yao ipasavyo, Sasa hapa police walienda kufanya nn? hii si nikazi ya tume na wagombea!
Mpina aache vuruguMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Labda alitegemea kamsererekoMuda mwingine tuepuke kuonekana wajinga, umeambiwa huna sifa badala ya kupambana kikwazo kuondoa kikwazo unategemea ubabe au huruma.
Dah huu sio ududu kabisaMgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
Bora Chadema wamejitunzia heshima yaoNo reforms no election
Tunajivunia nchi yenye uhuru na Amani huku waandishi wahabari wakichukua video kupitia uwazi wa nondo za mageti wakijesemea tusijekuingia matatizoni...Tanzalia 😭Mgombea wa Urais kupitia Act Wazalendo, Luhaga Mpina amewasili katika viunga vya Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Njedengwa, Jijini Dodoma kurejesha fomu ya Uteuzi.
Baada ya kufika Mpina na msafara wake wameonekana kusimamishwa getini huku Viongozi wa Chama chake wakionekana kuhojiana na walinzi.
Hata hivyo, baada ya sintofahamu hiyo kujitokeza kwa dakika kadhaa, Mpina na msafara wa Viongozi waliofika umeondoka ukiwa umeishia nje ya geti.
hata Dr. Masumbuko Lamwai (R.I.P) alifurukuta kidogo akiwa na akina Mzee Wassira (Tyson by then!)Huyu kajimaliza kisiasa mapema sana
Kama waliitwa na Tume? Pia nadhani wagombea wote wanatakiwa kupewa ulinzi nyakati hizi.Mi Naona kama vile police hawafanyi kazi Yao ipasavyo, Sasa hapa police walienda kufanya nn? hii si nikazi ya tume na wagombea!
Ujinga ni kuomba ruhusa ccm ili kushindana nayo.
Hamas, m23, taliban waliweza siye tunashindwa vipi?
Yaani Maza kajiharibia, hainogi kufanya kampeni na yupo bila mshindani wa maanaSalum Mwalimu
Hatujaamua, iko siku watu wataelewa na tutashinda.kwa sababu ndiyo walioshika mpini tanzagiza, thats why tunashindwa …