Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

Hapa kweli ndo tunapohitaji katiba mpya. Maamuzi mengine unaona kabsa yanaamuliwa kwa manufaa ya upande mwingine
 
Mbombo ngafu, ubaya ubwela. Mahakama yasema haiwezi kuingilia mambo yanayofanyika Bungeni, labda tu yawe yamevunja katiba..

Huu uamuzi umeandikwa kwa lugha ya Bibi Eliza (RIP), najua CDM hapa watatoka patupu

Mahakama za Tanzania ni Mahakama UCHWARA ...... !!
 
Hivi Tanzania kuna mahakama??ili ata majaji wenyewe wanajua kuwa Tanzania kuna serikali hakuna mahakama wala bungee wananchii muelewe.
 
Hivi Tanzania kuna mahakama??ili ata majaji wenyewe wanajua kuwa Tanzania kuna serikali hakuna mahakama wala bungee wananchii muelewe.
Kwani ili uone haki imetendeka ulitaka lazima mpina ashinde kesi au ulikuwa na hukumu yako mkononi?
 
Acha Mpina ajionee kwa kiwango gani yeye na wanaccm wenzake wameshiriki kubaribu mifumo ya kutoa haki nchi hii. Utashangaa mtu kama Mpina anaona huu ujinga, lakini ukimwambia adai katiba mpya hayuko tayari, anasimama na mtazamo wa chama chake.

Wanaccm huwa wanaamini hizi mahakama ni kwa ajili ya kukomoa wapinzani, huku wakidhani wao wako salama.
Akili itamkaa sawa.
 
Endeleeni tu kushabikia UPUMBAVU ....!!
HUYO NDIYO ANA UMPUMBAVU SIYO MIMI UNAMSHTAKI BOSS WAKO HALAFU JAMAA YAANI SIDHANI KAMA AKILI ZAKE ZNAFANYA KAZI HIVI ETI WAZIRI WA FEDHA ,KILIMO ,SPIKA ,MWANASHERIA WOTE WASIMAME KAZI KUMSIKILIZA YEYE? USHUZI WA NCHI GANI HUO?
 
Mahakama za Tanzania ni Mahakama UCHWARA ...... !!
Ukiangalia mienendo ya mahakama za kenya na bongo unaona kabisa miaka 20 ijayo kenya watakua mbali sana uku sisi tukijiuliza tumechelewa wapi.
 
Ukiangalia mienendo ya mahakama za kenya na bongo unaona kabisa miaka 20 ijayo kenya watakua mbali sana uku sisi tukijiuliza tumechelewa wapi.

Kujilinganisha na Kenya ni kama vile kulinganisha maji na Mafuta. Mafuta ni lazima tu yaje juu.

Kuna mijitu humu haielewi kabisa. Haijui kuwa Mahakama ipo pale kutoa haki. Kama Kenya wangekuwa na maamuzi ya kijinga kama hizi Kangaroo court zetu ..... Kesi ya Gachagua ingetupwa mbali.
 
Kwani ili uone haki imetendeka ulitaka lazima mpina ashinde kesi au ulikuwa na hukumu yako mkononi?
Hapa ndio huwa nawakubali sana wale wazungu waliowekeza hapa nchini na kuamua kutumia mahakama za kimataifa. Vinginevyo wangekubali mashauri yao kupelekwa mwenye hizi mahakama za manyani, wangeshafilisika muda mrefu.
 
Back
Top Bottom