Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

MIHIMILI haitakiwi kuingiliana kwa mujibu wa Katiba. Hakuna cha kujichimbia chini zaidi ni Sheria ifuate mkondo wake. Ndio maana ikionekana kuna shida kwenye Sheria hubadilishwa na hata hitaji la Katiba mpya linakuwepo na jamii husika huhitajika kushinikiza marekebisho ya Katiba.
 
Back
Top Bottom