Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

Hizi tuhuma za ufisadi hapo sizioni.Kwenye hilo la Call Centre Nawapongeza sana Tanesco kwani sasa TANESCO wamekuwa na Response Rate kubwa sana kwenye issues tunazopeleka Call Centre. Ukilinganisha na kipindi kile ambacho watoto wa fildi ndo walikuwa wanahandle Dawati la Dharura.

Kuhusu Kuajiri wafanyakazi 6 aoneshe ni utaratibu gani ulikiukwa Isijekuwa na Wivu tu maana mamlaka ya waziri yanaeleweka.yeye sio muajiri ndani ya Tanesco.

Mwisho hizo gharama za kupeleka Umeme hapo Mtumba kupanda lazima pia hali ya Sokoizingatiwe kwani Kusambaza Umeme kwenye majengo yote pale mtumba sio kazi rahisi na ya gharama ndogo.Kama kuna ufisadi pia aoneshe uhusika wa January.

Mwisho January hajafukuzwa kazi.Alibadilishwa Majukumu Tu na KUpelekwa wizara ya Masuala ya Kigeni.

Mwisho Ushauri wangu kwa Mpina.Anapoamua Kusema mambo Bungeni ili watu wamuelewe basi aweke facts zinazoeleweka kama hawezi basi awaombee wananchi wa Meatu wapate Maji ya Kutosha,Barabara za kutosha,Hospitali za kutosha,Viwanda vya kutosha,Pembejeo,n.k. Ni mambo ya muhimu sana Kuliko kuhangaika na Kutumia nafasi yake ya Kibunge kujaribu kuibua Hoja ambazo hazina mashiko wa uelekea sahihi.

Ajifunze kwa Mheshimiwa Kasheko Musukuma.
 
ana
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
Hakuna lolote, anamvictimize Makamba bila sababu za msingi. Huu unafuu unaopatikana si kwa sababu ya mabadiliko ya mawaziri bali kuwepo kwa mvua za kutosha na kuanza kufanya kazi kwa bwawa la Nyerere. Hata hivyo mgao bado upo. Hao akina Mpina na wenzake wa kanda ile hawajawahi kuridhika kwa kuondolewa kwa Kalemani pale wizarani. Kwahiyo chuki zao kwa Makamba, zina sababu nyuma yake, na si hizi anazotaka kutuaminisha. Ukiangalia vizuri ni vita ya uraisi ya 2030.
 
Ni vizuri alipewa Wizara nyeti na sisi tumeona uwezo wake wa akili na uongozi.

Huyu mwenye tamaa za kuwa Rais baada ya Samia ametudhihirishia kuwa hana uwezo wa kuwa Rais wa nchi.
 
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
We bwege umekaa kikabila na kikanda. Majitu km wewe hayawahi kufanikiwa. Mfuate mhutu mwenzio we mbwa. Huoni ht haya kila post za kikabila, kikanda. We siyo mtanzania km yule marehemu wako
 
Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.

Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
Naunga mkono hoja. Alichofanya kwa miaka 2 akiwa Waziri wa Nishati ni UFISADI tu. Lakini kiuwezo Januari ni bogus tu.

Januari bila kubebwa na Baba yake mzazi na JK pengine hata kuwa DC asingepata.

Waliosoma naye sekondari wanasema aliiba mitihani kisha akafukuzwa. Na alipokwenda Ulaya alichosoma hakijulikani.
 
ana

Hakuna lolote, anamvictimize Makamba bila sababu za msingi. Huu unafuu unaopatikana si kwa sababu ya mabadiliko ya mawaziri bali kuwepo kwa mvua za kutosha na kuanza kufanya kazi kwa bwawa la Nyerere. Hata hivyo mgao bado upo. Hao akina Mpina na wenzake wa kanda ile hawajawahi kuridhika kwa kuondolewa kwa Kalemani pale wizarani. Kwahiyo chuki zao kwa Makamba, zina sababu nyuma yake, na si hizi anazotaka kutuaminisha. Ukiangalia vizuri ni vita ya uraisi ya 2030.

Si alisema mitambo ya kusafirisha umeme imechakaa, kwa hiyo maji yalipojaa na mitambo ikapona uchakavu?
 
Hizi tuhuma za ufisadi hapo sizioni.Kwenye hilo la Call Centre Nawapongeza sana Tanesco kwani sasa TANESCO wamekuwa na Response Rate kubwa sana kwenye issues tunazopeleka Call Centre. Ukilinganisha na kipindi kile ambacho watoto wa fildi ndo walikuwa wanahandle Dawati la Dharura.

Kuhusu Kuajiri wafanyakazi 6 aoneshe ni utaratibu gani ulikiukwa Isijekuwa na Wivu tu maana mamlaka ya waziri yanaeleweka.yeye sio muajiri ndani ya Tanesco.
Alifukuza top management wote kisa tu wa Dkt Magufuli. Makamba tatizo lake kubwa ni kushindwa kuelewa miiko ya uongozi
 
S
Si alisema mitambo ya kusafirisha umeme imechakaa
Sasa wewe huoni maboresho ya nguzo na nyaya mpya za umeme? Huyu waziri wa sasa mgemsifia kama naye angeongoza wizara nyakati zile za ukame, vingininevyo mnamuonea Makamba sababu tu hamumpendi.
 
Naunga mkono hoja. Alichofanya kwa miaka 2 akiwa Waziri wa Nishati ni UFISADI tu. Lakini kiuwezo Januari ni bogus tu.

Januari bila kubebwa na Baba yake mzazi na JK pengine hata kuwa DC asingepata.

Waliosoma naye sekondari wanasema aliiba mitihani kisha akafukuzwa. Na alipokwenda Ulaya alichosoma hakijulikani.
Sasa kasimame na Makamba mfanye debate tuone kama utamshinda. Acha kuwa na wivu wa kimaskini au wa kinepotism.
 
Back
Top Bottom