Angalabu nimefurahia kifo cha DiktetaHapo Ulipo Ni Mfu ulie Hai muda wako Huujui pengine ni Usiku wa leo
Maisha yenyewe haya yasiotabirika?Yote hii ni tamaa urais maana anajilimbikizia ili apate hela za kuhonga
Hakuna lolote, anamvictimize Makamba bila sababu za msingi. Huu unafuu unaopatikana si kwa sababu ya mabadiliko ya mawaziri bali kuwepo kwa mvua za kutosha na kuanza kufanya kazi kwa bwawa la Nyerere. Hata hivyo mgao bado upo. Hao akina Mpina na wenzake wa kanda ile hawajawahi kuridhika kwa kuondolewa kwa Kalemani pale wizarani. Kwahiyo chuki zao kwa Makamba, zina sababu nyuma yake, na si hizi anazotaka kutuaminisha. Ukiangalia vizuri ni vita ya uraisi ya 2030.Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.
Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
Mkapa hayati ,alimsomesha marekani ,lowasa na kikwete walimlea na kumkuza kiutawala pale magogoniKiukweli makamba ni mtu dili dili sana
Ni vizuri alipewa Wizara nyeti na sisi tumeona uwezo wake wa akili na uongozi.Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.
Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
We bwege umekaa kikabila na kikanda. Majitu km wewe hayawahi kufanikiwa. Mfuate mhutu mwenzio we mbwa. Huoni ht haya kila post za kikabila, kikanda. We siyo mtanzania km yule marehemu wakoMbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.
Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
Mfuate we nshambaEhee!
Wewe ni mzuri hautakufa! Mungu akujaalie mwisho mwema MkuuuMagufuli ni mfuu na tunafuraha sana....i
Angalabu nimefurahia kifo cha Dikteta
Naunga mkono hoja. Alichofanya kwa miaka 2 akiwa Waziri wa Nishati ni UFISADI tu. Lakini kiuwezo Januari ni bogus tu.Mbunge asiyepoa wa jimbo la Kisesa wilaya Meatu Mh Mpina akichangia bajeti ya wizara ya Nishati na madini amempongeza Rais Samia kwa kumfukuza waziri January Makamba kwenye wizara hiyo kwani alihusika na dili na ufisadi mkubwa sana kwenye wizara hiyo.
Mfano wa ufisadi ni kuajiri wafanyakazi 6 bila kutoa tangazo wala kuwafanyia interview, wafanyakazi hao walikuja kuhusika moja kwa moja na katakata ya umeme iliyokuwa imeshika kasi nchini.
Ufisadi namba mbili ni kufuta vituo vyote vya huduma kwa wateja mikoani na kucentralize huduma Dares salaam kwa kampuni la Airlink ambalo halijulikani lililetwa na nani, na wananchi kutozwa gharama kila wanapopiga huduma kwa wateja ambapo hizo hela haieleweki analipwa nani.
Ufisadi namba tatu ni mradi wa kuweka umeme kwenye mji wa serikali Mtumba ambapo January Makamba alipandisha gharama kutoka billioni 41 hadi billion 50 bila kuelezwa sababu ni nini!
ana
Hakuna lolote, anamvictimize Makamba bila sababu za msingi. Huu unafuu unaopatikana si kwa sababu ya mabadiliko ya mawaziri bali kuwepo kwa mvua za kutosha na kuanza kufanya kazi kwa bwawa la Nyerere. Hata hivyo mgao bado upo. Hao akina Mpina na wenzake wa kanda ile hawajawahi kuridhika kwa kuondolewa kwa Kalemani pale wizarani. Kwahiyo chuki zao kwa Makamba, zina sababu nyuma yake, na si hizi anazotaka kutuaminisha. Ukiangalia vizuri ni vita ya uraisi ya 2030.
Alifukuza top management wote kisa tu wa Dkt Magufuli. Makamba tatizo lake kubwa ni kushindwa kuelewa miiko ya uongoziHizi tuhuma za ufisadi hapo sizioni.Kwenye hilo la Call Centre Nawapongeza sana Tanesco kwani sasa TANESCO wamekuwa na Response Rate kubwa sana kwenye issues tunazopeleka Call Centre. Ukilinganisha na kipindi kile ambacho watoto wa fildi ndo walikuwa wanahandle Dawati la Dharura.
Kuhusu Kuajiri wafanyakazi 6 aoneshe ni utaratibu gani ulikiukwa Isijekuwa na Wivu tu maana mamlaka ya waziri yanaeleweka.yeye sio muajiri ndani ya Tanesco.
Na kipara chake kile, anapenda hela utafikiri anajiwekea hazina mbinguni kumbe ataziacha watatafuna wengineKiukweli makamba ni mtu dili dili sana
Sasa wewe huoni maboresho ya nguzo na nyaya mpya za umeme? Huyu waziri wa sasa mgemsifia kama naye angeongoza wizara nyakati zile za ukame, vingininevyo mnamuonea Makamba sababu tu hamumpendi.Si alisema mitambo ya kusafirisha umeme imechakaa
Una ushahidi? Makamba ana ufisadi gani? Unaweza kuuonesha?Na kipara chake kile, anapenda hela utafikiri anajiwekea hazina mbinguni kumbe ataziacha watatafuna wengine
Mbona mawaziri wa Magufuli nao waliwafukuza wafanyakazi wa enzi za Kikwete, unasemaje hapo?Alifukuza top management wote kisa tu wa Dkt Magufuli. Makamba tatizo lake kubwa ni kushindwa kuelewa miiko ya uongozi
Sasa kasimame na Makamba mfanye debate tuone kama utamshinda. Acha kuwa na wivu wa kimaskini au wa kinepotism.Naunga mkono hoja. Alichofanya kwa miaka 2 akiwa Waziri wa Nishati ni UFISADI tu. Lakini kiuwezo Januari ni bogus tu.
Januari bila kubebwa na Baba yake mzazi na JK pengine hata kuwa DC asingepata.
Waliosoma naye sekondari wanasema aliiba mitihani kisha akafukuzwa. Na alipokwenda Ulaya alichosoma hakijulikani.
Habebwi, anauwezo, ninyi mmejaa chuki ya kuondolewa kwa Kalemani kama vile yeye alizaliwa pale Tanesco.Makamba anabebwa kwasababu ya kikwete tu