Mpina ampongeza Rais Samia kwa kumuondoa January Makamba TANESCO, alihusika na ufisadi wa kutisha

Nasubiri january aje ajibu ndio nitatoa maoni yangu!
 
Kumbuka wakati wa JPM, Musiba alimsema sana huyo kijana kuhusu ufisadi. Kama aliyosema Musiba ni ya kweli basi hata uenyekiti wa serikali za mtaa Makamba hastahili. Sikujua, kumbe kukatika katika umeme ilikuwa dili!! Hakika ameumiza wengi.
 
Magufuli ni mfuu na tunafuraha sana....itoshe kusema hivyo
Huyo mfuu ndio sababu ya umeme usiokatikatika. Unaufurahia hujui chanzo. Sio mbaya kama unavyotuaminisha. Labda ulikuwa unauza majenereta ndio wanaomlaumu.
 
Sasa kasimame na Makamba mfanye debate tuone kama utamshinda. Acha kuwa na wivu wa kimaskini au wa kinepotism.
Makamba hana kitu. Debate akasimame na Dotto Magari au Mwijaku. Kwenye duru za managerial performance hakuna anachojuwa.

Weka CV yake hapa tuone alichosoma
 
Sasa kasimame na Makamba mfanye debate tuone kama utamshinda. Acha kuwa na wivu wa kimaskini au wa kinepotism.
Makamba hawezi kusimama na watu wenye elimu zetu zinazofahamika. Makamba hawezi kusimama na watu tuliopanda bila kubebwa.

Mta mu- admire nyinyi tu musio na akili
 
Tunachoshangaa mbona wakifisadi, wakivurunda wanaendelea kupewa nafasi zingine serikalini?! Tena nyeti?! Chukuwa chako mapema ndipo wanapoonyesha udhoofu wao...
 
Kwanza kabisa Makamba alifutiwa matokeo ya mtihani wa fomfoo akiwa kijana mdogo. Jiulize kwanini alifutiwa matokeo? Kumbuka sio shule iliyofutiwa, January ndio alistukiwa na Baraza la mitihani.
Alisemaga yeye mwenyewe.
 
Mimi ni wa Nyanda za Juu ila simkubali Januari. Anapeta kwa sababu ya Msoga connection. Otherwise ni mburura tu kama Makonda

Huihui umenena ukweli mtupu. Makamba uwezo wake ni mdogo toka shuleni, ndiyo maana unasikia hata huko shuleni, aliiba mtihani wa kidato cha 4. Na hata katika utendaji kazi, hakuna lolote la pekee lililowahi kufanikiwa likihusishwa naye.

Sifa yake kubwa ni kuwa mtoto wa Makamba, na Makamba ni rafiki yake mkubwa wa Kikwete. Na Kikwete ndiye aliyemwinua Samia toka jalalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…